Nini kingine cha kuhofia endapo mmepima H.I.V na majibu yakawa negative?

Vingi vp? mkuu weka vitu mezani
wenye maadili wanahofia heshima zao,wacha Mungu wanamuogopa Mungu,wenye maisha ya kuunga unga ana hofia jee huyu mpenzi atakaa na mimi kwa muda gani,wenye ndoa anahofia what if nikipata magonjwa mengine ya zinaa ntamwambia nini babe wngu,pia ngono uzembe ndio kitu cha kwanza kuharibu akili ya mwanadamu,kuzorotesha uchumi pia nk
 
Zinaa,maradhi,usaliti,kuzaa watoto mje ya ndoa mwisho wa siku unatoa mimba ambayo hujui kama utapata tene mtoto au laa..
 
Heri ya pasaka Ladies & Gentlemen

Hivi endapo umempata mpenz na mkaamua kupima ili uweze kula kitu mbashara, nini kingine cha kuhofia? au baada ya kupima na mkakutwa wote mpo safi unaweza kwenda kujilia vituz? au usubirie tena mpaka baada ya miezi 3 km inavyoshauriwa na watalaam?

Weka maoni yako pls.
Homa ya ini, sickle cell
 
Ni bora utumie condom maana mnaweza kuwa wote au mmoja kuwa kwenye window period( kipindi cha mpito) pia kuna hepatitis B hivyo kupima Mara moja sio tiketi ya kupiga pekupeku
sikia nikwambie....habari za window period zilikuwa kwenye vipimo vya SD BIOLINE 1 lakini sasa hivi wameleta Sd bioline zingine ambazo ni more sensitive kuliko za zamani...kwa hiyo Sd bioline ya sasa hivi (hasa zilizoanza kutumika kuanzia mwezi wa 3 ) zikionesha True ujue umeish kweli na zikioneaha Neg ujue kweli hauna..hakuna cha window period wala nini...it is very sensitive
 
Achana na HIV, kuna mjomba anaitwa Hepatitis B, Huyo ni balaa na speed yake usipime.. Sasa wewe jichanganye umvabe
 
Back
Top Bottom