Nini kinasababisha wanawake kupoteza hamu ya mapenzi na wanaume zao?

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,558
6,435
Wadada wa jf


Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife

Na wamezaa watoto 2

Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba shemeji hataki kufanya sex kabisa

Dogo anasema akimshika tu inakuwa ni ugomvi hataki, anasingizia hana hamu, ana homonyms balance, but dogo anaamini ni visingizio tu hayo mambo sio kweli

Swali langu sasa kwa wadada wenye uzoefu wa hizi code je shida hapo kwa shemeji yangu inaweza kuwa ni nini?

Ni kweli anaumwa au hana feelings na dogo au anacheat au all of above haha
 
Hakuna jibu moja kwa moja la kujibu kwenye hili jambo, but naweza kuhoji maswali haya yafuatayo
1. Kama ana watoto wawili je, amewahi kuwa na tatizo la homone imbalance? Au amewahi kuonesha hizo tabia kabla?

2. Ni kwa muda gani amekuwa akigoma kushiriki tukio na mume wake? Endapo ni kwa muda mrefu huenda ni shida ya kiafya

3. Swali lingine ni kuhusu faragha yao kama wanamalizana vema haja zao? Mwanamke huwa ana tabia ya kuboreka na show ya mume au mpenzi ikiwa mwanamke haridhishwi hivo anaweza kuvumilia kwa muda fulani lakini anakuwa hafurahii kushiriki hilo tendo na huyo mtu hapa mwanamke atakuwa anatoa sababu kila siku lengo ni kukwepa tu hiyo shughuli

4. Je, amewahi kusaliti au anaonesha ishara zozote zinazo weza kuashiria usaliti? Usaliti unaweza kusababisha mwanamke akakosa interest zozote kwa mumewe
 
Hakuna jibu moja kwa moja la kujibu kwenye hili jambo,, but naweza kuhoji maswali haya yafuatayo
1. Kama ana watoto wawili je, amewahi kuwa na tatizo la homone imbalance? Au amewahi kuonesha hizo tabia kabla...

1- Hana Hilo tatizo na hajawahi kuwa na hiyo shida

2- Anasema ni kama 5 months now

3- hii namba tatu sidhan kama naweza kupata jibu sahihi haha

4- Me pia nahisi usaliti but why awe na mapenzi kama yote isipokuwa kwenye sex Tu?
 
1- Hana Hilo tatizo na hajawahi kuwa na hiyo shida

2- Anasema ni kama 5 months now

3- hii namba tatu sidhan kama naweza kupata jibu sahihi haha

4- Me pia nahisi usaliti but why awe na mapenzi kama yote isipokuwa kwenye sex Tu?

Kama no. 1 na 2 ni hapana basi 3 na 4 ni ndio fanyeni utafiti,, usaliti wa sex na upendo muda mwingine vinaweza kuwa tofauti sana,, mwanamke huyo anampenda sana mwanaume but suala la sex anaweza kufanya tu mtu mwingine kulinga na mihemko yake lakini pia kulingana na huyo mwanaume anaye toka naye huenda anajua kumsoma mwanamke vizuri na kujua anataka nini😂 ila mwanamke anampenda mumewe but kipengele cha show huenda akawa anapenda show za mhuni mwingine.... Fanyeni utafiti vyema msiridhishwe na sababu anazo toa msaidie ndg yako kwenye hilo but kama anasaliti usimwambie huyo mdogo wako njoo JF watakushauri ufanye nini kulinda ndoa yao
 
Kama no. 1 na 2 ni hapana basi 3 na 4 ni ndio fanyeni utafiti,, usaliti wa sex na upendo muda mwingine vinaweza kuwa tofauti sana,, mwanamke huyo anampenda sana mwanaume but suala la sex ...

Hii comment yako ni kama imenifungua akili flan

It's very possible akawa she is in love Kwa dogo but Kwa upande wa show anapenda ya mtu mwingine Kwa sababu zingine

Kama nimeelewa kitu hapa
 
Back
Top Bottom