Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???