Nini kinafanyika kwenye casino?

Nndu wa Selote

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
733
520
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???
 
we una hangover au,yani huna uhakika kama hili ni jukwaa husika kwa mada ya kasino nakati unajua fika huku ni kwa wasomi...hebu admin toa haya madudu ya huyu mlevi
 
Kumsaidia japo kavamia jukwaa ambalo halihusiani na mada aliyotoa casino ni sehemu iliyoruhusiwa kucheza kamari
 
The history of the word
casino reveals a transformation from a
cottage to a gambling palace. The source
of our word, Italian casino, is a diminutive
of casa, "house." Central to the
transformation is the development of
the senses of casino in Italian. The word
was first applied to a country house and
then came to be used for a social
gathering place, a room or building where
one could dance, listen to music, and
gamble. This last pastime seems to have
gained precedence over the others, at
least as far as the development of the
word is concerned, and casino took on
the meaning "gambling establishment."
 
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???
nenda ukajionee natumai wewe ni kijana ambae upo juu ya miaka kumi na nane...
 
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???

Zambi, yaani ukahaba, ulevi, kamali, matusi, utapeli nk
 
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???

nenda au sema uko wapi tukueleze
 
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???

you're officialy kicked out of this jukwaa.......hapa tujuzane masuala yanayohusu elimu jama
 
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???
mmmh! pamoja na kujua hapa c mahala pake ila ckushauri hata kujua nn kinafanyika ndani ya casino ni vema ukatumia muda wako vizuri kufikiria mambo ya msingi sana hasa suala la elimu na maendeleo!!!
 
The history of the word
casino reveals a transformation from a
cottage to a gambling palace. The source
of our word, Italian casino, is a diminutive
of casa, "house." Central to the
transformation is the development of
the senses of casino in Italian. The word
was first applied to a country house and
then came to be used for a social
gathering place, a room or building where
one could dance, listen to music, and
gamble. This last pastime seems to have
gained precedence over the others, at
least as far as the development of the
word is concerned, and casino took on
the meaning "gambling establishment."
Mkuu umempigia mbuzi gitaa tu
Kama kakosea jukwaa unadhan the way ulivyotiririka hivyo amekulewa!!? Hapo ni hola tu mkuu
 
Back
Top Bottom