Nini kimelisibu gazeti la Raia Mwema?

Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.

Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Limekuwa toilet paper
 
inawezekana kabisa mkono mchafu wa mwarabu umewafikia raia mwema na wameulamba. Kuendesha gazeti bongo si lele mama, nani anapoteza pesa yake kununua gazeti leo wakati habari zote zinapatikana mitandaoni?
Una uhakika wamiliki ni wale wale wa zamani kina Ulimwengu?
 
Hivi `Jenerali ana udini kweli ?
maake siamini kama Ulimwengu ni mnazi wa huo uislam-...mtu mwenye akili nyingi na tafakuri za kina kama Jenerali hawezi zombwa na ujinga wa dini za mapokeo hizi.
Humjui vizuri Ulimwengu weweee!
 
Objectivity !!!

Ukweli ni Upi ? Kwamba wewe ndio una Hati Miliki ya Ukweli ? Na sababu unahabarisha unatoa Ukweli wako tu na sio Ukweli wa Mwingine ?

Kazi ya magazeti / habari ni kuongelea ukweli na kama ukweli huo ni subjective una pande mbili kazi ya hao waandishi ni kuchukua pande zote kuelezea wanachosema na mwisho wa siku ni kumalizia kwa conclusion accordingly wao wanavyoona (Na hata wanavyoona sio wote ni sawa kutokana na perspective Tofauti)...; Sasa kama Serikali ndio sahihi na hivi vyombo vinatumika kusambaza kile Serikali inataka hio ni Propaganda Machine...
Mayala - manjaa makubwa

Unategemea nini? 😳😳😳

Hatuna waandishi wa habari Tanzania. Tuna wachumia tumbo tu wanaopenyezewa vibahasha. Yaani hakuna investigative journalist hata mmoja!
 
Msilete habari ya udini hapa kama mtu anataka kuuza nchi awe Muislamu, Mkristu, Muarabu, Muhindi, Beberu huyo ndio mgomvi wetu. Ebo!
 
Back
Top Bottom