Nini kimelisibu gazeti la Raia Mwema?

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
10,395
16,042
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.

Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?

Updates:
Habari nilizopata ni kuwa gazeti hili kwa sasa linamilikiwa na watu wawili, Mbarak Islam na Said Kubenea. Pole sana Jenerali kwa kukuhusisha na wenye elimu ya kuungaunga
 
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.

Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?

20230726_070003.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.

Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Watanzania tuna tatizo la mirengo, na negativity, ukiishakuwa na mrengo negative kuhusu jambo fulani, na ukaamini, hata ukiambiwa ukweli halisi hutaamini!.

Mfano mzuri ni hizi kelele za DPW na Bandari zetu, mkataba au makubaliano ni mabaya lakini DPW ya Mwarabu wa Dubai ni nzuri na itatusaidia sana.

Sasa mtu uliyeaminishwa Mwarabu wa Dubai na DPW ni wabaya, akitokea mtu kukueleza ukweli kuwa ni wazuri, wewe lazima utamshangaa!.
P
 
2007-10 nilikuwa napenda sana kila alhamisi kununua gazeti la rai
ata jamii forum niliifahamu kupitia hilo
gazeti la rai

Baadae gazeti likauzwa mimi sijui zile makala za moto za kuikosoa serikali zikayeyuka kama barafu

Zikaanza makala za sifa na mapambio
Kuanzia wakati huo sikulinunua tena

Na kilicho likumba rai ndio kinalikumba raia mwema
 
Rupia inapenyezwa kwenye Udhia...., Badala ya Serikali Kuajiri watu iwalipe mishahara inapesa lukuki zimekaa tu ili kulainisha mambo kama haya....

Mambo ya Ajabu ajabu sana siku hizi...; Propaganda at its best....

Like they say The First Casualty of War is the Truth...; and believe it this is War....(ila badala ya risasi ni mwendo wa Propaganda)
 
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.

Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Jenerali anaunga mkono. Kuna faida kwa anakotokea. Alikorudishwa na Mkapa
 
Watanzania tuna tatizo la mirengo, na negativity, ukiishakuwa na mrengo negative kuhusu jambo fulani, na ukaamini, hata ukiambiwa ukweli halisi hutaamini!.

Mfano mzuri ni hizi kelele za DPW na Bandari zetu, mkataba au makubaliano ni mabaya lakini DPW ya Mwarabu wa Dubai ni nzuri na itatusaidia sana.

Sasa mtu uliyeaminishwa Mwarabu wa Dubai na DPW ni wabaya, akitokea mtu kukueleza ukweli kuwa ni wazuri, wewe lazima utamshangaa!.
P
Objectivity !!!

Ukweli ni Upi ? Kwamba wewe ndio una Hati Miliki ya Ukweli ? Na sababu unahabarisha unatoa Ukweli wako tu na sio Ukweli wa Mwingine ?

Kazi ya magazeti / habari ni kuongelea ukweli na kama ukweli huo ni subjective una pande mbili kazi ya hao waandishi ni kuchukua pande zote kuelezea wanachosema na mwisho wa siku ni kumalizia kwa conclusion accordingly wao wanavyoona (Na hata wanavyoona sio wote ni sawa kutokana na perspective Tofauti)...; Sasa kama Serikali ndio sahihi na hivi vyombo vinatumika kusambaza kile Serikali inataka hio ni Propaganda Machine...
 
Watanzania tuna tatizo la mirengo, na negativity, ukiishakuwa na mrengo negative kuhusu jambo fulani, na ukaamini, hata ukiambiwa ukweli halisi hutaamini!.

Mfano mzuri ni hizi kelele za DPW na Bandari zetu, mkataba au makubaliano ni mabaya lakini DPW ya Mwarabu wa Dubai ni nzuri na itatusaidia sana.

Sasa mtu uliyeaminishwa Mwarabu wa Dubai na DPW ni wabaya, akitokea mtu kukueleza ukweli kuwa ni wazuri, wewe lazima utamshangaa!.
P
Uzuri wa DPW unatokana na nini? kuna kesi chungu nzima duniani zinazowahusu hawa DP. Judgement ya kwamba wao ni wazuri inatoka wapi 1. mkataba wao Mmbovu waliotusainisha pamoja na hizo kesi na mataifa mengine ilikuwa ni kengele tosha ya kutuamsha WaTZ kuwa hawa watu hawatufai. ndiyo maana mimi napata wasiwasi kuwa kung'ang'aniwa huu mkataba na viongozi wetu wa serikali nadhani kuna ajenda nyingine nyuma ya pazia. isije kuwa hawa wazenji wanatuprovoke ili tuvunje muungano kwa nguvu halafu watanganyika naona hatuelewi. Maana kwenye jambo hili unaona hata wabobezi ambao tulitegemea kupata analysis iliyoshiba kuhusu mapungufu ya mkataba na kamuni yenyewe lakini utakuta wanaongea vitu petty kwenye jambo serious kama hili. Basi kama Rushwa sijui hawa jamaa watoa magunia mangapi.
 
Watanzania tuna tatizo la mirengo, na negativity, ukiishakuwa na mrengo negative kuhusu jambo fulani, na ukaamini, hata ukiambiwa ukweli halisi hutaamini!.

Mfano mzuri ni hizi kelele za DPW na Bandari zetu, mkataba au makubaliano ni mabaya lakini DPW ya Mwarabu wa Dubai ni nzuri na itatusaidia sana.

Sasa mtu uliyeaminishwa Mwarabu wa Dubai na DPW ni wabaya, akitokea mtu kukueleza ukweli kuwa ni wazuri, wewe lazima utamshang
Wewe ni mwandishi na mwanasheria kinyonga. Wasomi wenzio wameonyesha dukuduku zao kwenye baadhi ya vipengele, badala ya kujibu hoja zao mnaelezea uzuri wa mauzo hayo?
 
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.

Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Shida mnataka kila mtu afikiri mnavyofikiri nyie.
 
Back
Top Bottom