Nini kimeikumba timu ya Simba baada ya mechi ya Dodoma Jiji kuahirishwa?

Mimi sio mwoga ndo maana iwe mvua iwe jua nipo hapa...siku ile mmetufunga moja mm ndo nilisimama kidete na timu yangu...
By the way hyo siku sitakuwepo kuwasimanga maana mtafungwa....lazima mfungwe...
Hiyo homa inayokupanda kichwani
 
Kuwa mwanamichezo mkuu
Ligi ni marathon
Huwezi kuwa Bora msimu mzima
Kuna game au kipindi timu itaamka vibaya
Yanga alianza msimu vibaya
Ilikuwa ngumu kujitafuta wakati ligi inaendelea
Simba vs Azam, Simba walifanya vyema lakini kumbuka Azam na Simba Zina uzani sawa
Msimu Jana Azam alikuwa wa pili na Simba akawa 3 ndo tiketi ya kwenda huko shirikisho UMISETA
Huko umiseta mlivishwa shanga na motsepe mkatutambia nazo mkazipeleka hadi ikulu leo hii mnayakataa mashindano? Btw timu yako iko hatua gani mpaka sasa huko kimataifa
 
Leo nimewaunga mkono ngara na Tate Mkuu jamani hebu tuache wachezaji wacheze..wachezaji sio maroboti...wana fatigue...wana ishu za kifamilia n.k
Kina Aziz k walidrop hapo kati alichekwa alidhihakiwa..huyo Dube ndo usiseme...kuna siku mbaya kazini..mkumbuke hao wachezaji wametutoa wapi...
Wana simba mm ikifika jumatano ya majivu sitadiskasi tena mambo ya mpira mpk kwaresma iishe..nisije tukana buree...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Back
Top Bottom