emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 901
- 1,266
Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo?
Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza kabisa mimba kwa wadogo zetu walio shuleni.
Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza kabisa mimba kwa wadogo zetu walio shuleni.