Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

Tena hata hao wakanda ya ziwa kwakuchaguliwa na Chadema washukuru kwani kanda yakaskazin ndio yenye chama.
 
Tatizo lako wewe matatizo ya CHADEMA ambayo hayana athari kubwa kwa Watanzania unayaona sana lakini hata siku moja matatizo ya wahuni wa CCM ambayo yanaingamiza nchi na hivyo kushusha hali ya maisha ya Watanzania miaka nenda miaka rudi huyaoni.

Ufisadi wa kutisha umefanywa ndani ya awamu ya Mkapa, Kikwete na hata sasa ya huyu shilawaDU. Wote hawa watatu kutokana na ufisadi wao walistahili kuwa lupango. Na wote wahusika wa wizi au ufisadi walistahili kuwa lupango lakini wanakingiana vifua miaka nenda miaka rudi huku matrilions ya pesa za walipa kodi yakiibiwa na hawa wahuni bila kuadhibiwa.

Nchi yetu iko nyuma sana kwenye kila sekta afya, elimu, maji, matibabu, kilimo, umeme, uchumi lakini punguani wewe haya yanayofanywa na wahuni wa CCM huyaoni hata chembe. Tia akili kichwani acha kupigia UOZO wa kutisha unaoendelea nchini na kusababisha nchi ikose maendeleo pamoja na kuwa kuna utajiri mkubwa sana nchini lakini ambao manufaa ya utajiri huo kwa Tanzania na Watanzania hayaonekani hata chembe.

sawa.
Ila uelewe hapa sio debe, ni kupongeza na kutetea mazuri, pili kutoa changamoto ju ya yale yanayoonekana hayako sawa kwa kupropose njia mbadala na bora ikiwezekana. Sioni sababu ya Kuchukia kukejeli wala kudharau mamlaka maana mamlaka hizi sio za kimalaika bali ni wanadamu tu, kama wale wa chadema na wanakosea pia.
Sasa kama mazuri yangu kwako ni mabaya na yanabomoa nchi, fine ni Ukinzani wa ufahamu na mitazamo ambayo ni muhimu kwa mwanadamu na ndio uhuru wa kujieleza huo ndugu ambao tulitumia nguvu kuhakikisha tunaupata na JF inaexist ili wewe uandike hayo na sisi tuandike hayo. Ukielewa hayo utakuwa na amani sana...
 
Jitafakarini sana CHADEMA. Hayo makundi mawili ni muhimu sana. Katika kuwahadaa watanzania angalau mngetafuta mwanamke ambaye kwa akili zenu ni dhaifu kabisa na mzanzibari mnaodhani kwa akli zenu ni dhaifu sana wakawasindikiza Wenje na Masha, yote hayo yasingetokea. Mnakwenda kuwaweka watu wa kutoka MWANZA tu wakati Tanzania hii ni kubwa sana, inatoka Namanga hadi mbambabei, inatoka Pemba hadi kigoma, inatoka Tunduma hadi Sirari.
Ulitaka watoke kaskazini mseme wamechguana kikanda amakweli nzi wakijani hamjielewi
 
chama kinachojipambanua kutetea wananchi

Wanakosa umakini kisa kutawaliwa na kuendekeza ubinafsi.

Kila siku wanahubiri democracy kumbe wenyewe wala hawaijui, wala hawaitaki hiyo democracy. Iweje kwenye uchaguzi wa BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI wamepata nafasi mbili;

1)Wameshindwa kutoa Fursa kwa Idadi kubwa ya wagombea ili kuwapa wapiga kura wigo mpana wa maamuzi kama CCM na CUF walivyofanya.Wao nafasi mbili wanatoa kwa watu wawili na kutaka kulazimisha bunge kuwapitisha bila kupingwa na hivyo kuikanyaga demokrasia. AIBU!!

2)CDM inaundwa na wanachama wa jinsia zote,wanawake na wanaume lakini kuna jumuia ya vijana (bavicha). Wao kwa wananchi wanahubiri Fursa Sawa kwa jinsia zote, lakini linapokuja suala la Fursa za ubunge wa afrika mashariki wanawake hawana nafasi kabisa. AIBU!!

3)Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania inaundwa na nchi mbili - Tanganyika/Tanzania bara na Zanzibar /Tanzania visiwani. CCM wameweka wagombea wao kwenye uchaguzi wa bunge la Afrika mashariki kwa kuzingatia pande zote mbili,wao Chadema wanajinasibu kuwa ni chama cha kitaifa! lakini wameleta majina ya wagombea wawili,wote kutoka mkoa mmoja,wote kutoka MWANZA..... Hii tunaitaje? .. AIBU.

Uchaguzi huu unafuatiliwa kote Afrika mashariki, kwa kuwa Tanzania ni taifa kubwa na lenye ushawishi mwingi , hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani, aibu,aibu aibu,aibu,aibu, aibu,aibu!!
Wajumbe wawili moja ya tatu itapatikana wapi bhanae cc hao ndo wanafaa kwetu na mbowe baba warudishe haohao nawawakaatae tena waende wenyewe
 
Kwa nini uwapangie?! Wamevunja sheria gani kuwaleta hao wagombea? Wewe ulitegemea mabashite wapige kura za ndio kwa wapinzani wao...wale wana itikadi mbili tofauti ndio mana nafasi hizi walipewa kivyama kuepusha hayo yote.
Sasa kama CHADEMA walilitambua hilo ya nn walipeleka wagombea? Wakati mwingine Akili zitumike na sio Nguvu za mwili.
 
Kama.ni hivyo sheria ilipaswa kusema 50/50 lakini sheria inasema 1/3.Niambie theluthi moja ya Mbili ni ngapi??
Tatizo Hiyo theluthi 1/3 sio Lazima ila kama Chama kwa Kuelewa kwamba Swala la NDIO na HAPANA lingetumika na kutokana na idadi ndogo ya wabunge waliyonayo wasingeweza kufanikisha azma yao, wangepaswa kufanya Kama walivyofanya cuf na Ccm. Mbona CUF mambo Safi?
 
Tatizo Hiyo theluthi 1/3 sio Lazima ila kama Chama kwa Kuelewa kwamba Swala la NDIO na HAPANA lingetumika na kutokana na idadi ndogo ya wabunge waliyonayo wasingeweza kufanikisha azma yao, wangepaswa kufanya Kama walivyofanya cuf na Ccm. Mbona CUF mambo Safi?

Inetegemea na sheria ilivyowekwa na si matakwa ya Wabunge au Spika wa Bunge la CCM.Issue ni 1/3 ya wabunge 9 na si 1/3 ya kila chama kitakachotoa wabunge.

Wameshatoa idadi ya wbaunge toka Zanzibar ambalo CCM wanatoa wabunge 2,bado kuna shida au watu kufikiri tunapeleka watu kuuza sura badala ya kutetea RASLIMALI za TAIFA??Hivi kuna sabbau yote ya msingi ya kupelekwa vichwa vilivyoshindwa shule huko??Hivi tumeshindwa kuwa TAIFA tuanongozwa na hisia za vyama??

Jiulize huyo fancy mwenye vyeti vya kughushi anaweza kupambana na AG wa RWANDA??Je anauwezo wa Kurumbana na Economist toka Kenya??ANa uwezo wa kurumbana na Mwanasheria Nguli toka Uganda??

Hivi hamuoni tunaenda kuuza raslimali sababu ya watu wachache kuabudu NGONO tu??For once hebu tuliane TAIFA kwanza baadaye Magodoro.

Mie ni mwanamke sijaona shida as long as number haikubali.Pili tusichague tu sababu ya kuweka wa wakilishi kisa mwanamke.Wekeni kweli wanawake wenye uwezo??Hivi unapomtoa Shyrose na kubandika Fancy kisa nini lakini sura au ni tandiko la mtu akiwa A town???

Hivi huko serikalini wamekosa watu kabisa wakaishia kuweka hawa wauza sura na skirt zao??Mbona kuna akina Sarakikya??Tunajua wanaweza wameshindwa kuwaweka hao??SIpendi kuufagilia ujinga kisa jinsia,jinsia mya foot when you talk about my country.

Taifa langu kwanza huo upuuzi mwingine waachieni wazungu,ambao wanawake wao akina Angela hatuwashiki hata kwa spidi ya 400Q
 
Bunge la Afrika mashariki si la vyama vya siasa na wala halihitaji tofauti za kisiasa linapokuja suala la mustakabali wa maslahi ya taifa husika!
Naamini kwa maslahi mapana ya taifa Cdm kwa ujumla waliona uwezo na weledi walionao Wenje na Masha, hivyo kwa kuwa zile kura za hapo awali ziliwakataa, siyo kwamba hawafai bali uchama na unafiki ulijaa ndani yake!
Wabunge wengi wa ccm ndio waliopiga kura za hapana kwa hawa watu!
Sasa kwa kuwa cdm mliwaamini kuwa ndio watu sahihi rudisheni hayo majina bungeni yapigiwe tena kura, msipeleke majina tofauti!
Otherwise hiyo nafasi muiache maccm waitumie kama watakavyo maana imeshaonekana kuwa maccm hawapendi wapinzani watoe wawakilishi wa nchi EALA!...
 
Wanabodi, mwenye jibu anijuze, kuuliza cyo ujinga, kuna uwezekano wa kurudisha yale majina ya akina Wenje na Masha tena kwa mara ya pili baada ya kupigiwa kura za hapana? na ikiwa yakaletwa na majina mengine zaidi, Wenje na Masha wakapeta, hawa wabunge watakuwa wametuaminisha nini?
 
T
Wanabodi, mwenye jibu anijuze, kuuliza cyo ujinga, kuna uwezekano wa kurudisha yale majina ya akina Wenje na Masha tena kwa mara ya pili baada ya kupigiwa kura za hapana? na ikiwa yakaletwa na majina mengine zaidi, Wenje na Masha wakapeta, hawa wabunge watakuwa wametuaminisha nini?
Tutayakataa tena. Tunampeleka EALA Kafulila na Regina Lowassa
 
Nafasi Za CDM kwenye eala zipo ila kila position wanatakiwa waweke angalau wagombea wa wili kwa kila position Na wasizidi watatu. Na Wagombea hao wawepo watu wa jinsia tofauti Na pande zote Za muungano. Hivyo waache utoto wa kutuchagulia wawakilishi wetu eala , kwangu nafasi hiyo tumeikasimu bunge la JMT
 
Acha ccm waendelee kuchelewesha, natamani chadema nao wasiteue mapema halafu bunge la EALA liseme tumechelewa halafu wafute uwakilishi wa Tanzania, yaani natamani kweli ingekuwa hivyo ili viwavi jeshi wa kumaliza wengine waipate chungu ya hujuma.
Bunge haliwezi kuchelewa kuanza kwa kukosa watu wawili wewe
chadema wamekosea wanaona aibu kubadili,eti wataleta wale wale,ndio watakataliwa kwa 100%
 
Habari za jioni mabibi na mabwana leo napenda kutoa mawazo yangu kuhusu uchaguzi wa Chadema kuchagua wanaume tu ili kwenda kuwakilisha kwenye bunge la afrika mashari .Nadhani ili lilikuwa kosa kubwa sana la kuvunja democrasia ya 50/50 japo nafasi zilikuwa mbili basi wangeli muweka hata mwanamke mmoja akawakilisha wnawake wenzake.pili wamechagua watu wawili toka sehemu moja na hili siyo zuri kwahiyo naona wamefata mfumo wa CCM wakufukuza sofia simba ukamuacha mwenzake nchimbi hapa ninamaana ya kutokusamini mchango wa wanawake kwenye vyama vyetu. Sasa naomba siku nyingine badilisha akakatabia
 
Acha ccm waendelee kuchelewesha, natamani chadema nao wasiteue mapema halafu bunge la EALA liseme tumechelewa halafu wafute uwakilishi wa Tanzania, yaani natamani kweli ingekuwa hivyo ili viwavi jeshi wa kumaliza wengine waipate chungu ya hujuma.
Kuna kitu kinaitwa quorum ktk uwakilishi wa aina yoyote. Hivyo hayo matamanio yako ni ndoto za mchana.
 
Niambie Mazuri aliyefanya Fancy mpaka apelekwe EALA.??

Kwa Wenje tumeona Michango yake.mzuri.Bungeni na siye wapiga kura wake tunajua mangapi ametusaidia.kuliko.Huyu Bashite mliyotulazimisha naye.
nitajie sasa achievement zao walau tatu tatu tuu mkuu
 
Watu wengi wana fikra hafifu kudhani kuwa kukiwa na barabara nzuri, umeme au maji, basi mbunge wa eneo hilo ni mchapa kazi wakati mambo hayo hufanywa na serikali na siyo mbunge.

Kazi ya mbunge ya kwanza ni kushiriki utungaji sheria bungeni. Jukumu la pili ni kuzitambua changamoto zilizopo jimboni mwake na kuzifikisha serikalini. Katika majukumu hayo makuu mawili, ni yapi ambayo Wenje hakuyatekeleza?
nitajie basi achievement tatu za huyo mkenya usijibu swali kwa swali
 
Back
Top Bottom