Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,459
2,290
MAKONDA HUYU HUYU ALIYEMPIGA MZEE WARIOBA
MAKONDA HUYU HUYU
Aliyevamia CLOUDS TV
Makonda huyu huyu aliyesema Liwassa katelekeza mtoto
Makinda huyu huyu aliyewasingizia kina Maji Gwajima na Mbowe kuwa wauza madawa LEO Ndio WAKUPAKWA MAFUTA? Kweli MUNGU anadhihakiwa sana
 
Eti Makonda huyu huyu aliyempoteza Ben Sa8 ?
Eti Makonda huyu huyu aliyepiga Lisu risasi 16?
Eti Makonda huyu huyu aliyepora nyumba ya GSM?
 
Kama hujui mtaji wa siasa ni wanachama. Ntashangaa kama Mh.Mbowe akifukuza hawa wanachama 19 wenye uzoefu alafu apitepite mtaani kutafuta wanachama. Kwa hili, ntamshangaa sana.
 
Kama hujui mtaji wa siasa ni wanachama. Ntashangaa kama Mh.Mbowe akifukuza hawa wanachama 19 wenye uzoefu alafu apitepite mtaani kutafuta wanachama. Kwa hili, ntamshangaa sana.
COVID-19 siyo wanachama wa chadema. Washafukuzwa tayari. Labda kama unamaanisha kuwa utashangaa wakirejeshwa.
 
MAKONDA HUYU HUYU ALIYEMPIGA MZEE WARIOBA
MAKONDA HUYU HUYU
Aliyevamia CLOUDS TV
Makonda huyu huyu aliyesema Liwassa katelekeza mtoto
Makinda huyu huyu aliyewasingizia kina Maji Gwajima na Mbowe kuwa wauza madawa LEO Ndio WAKUPAKWA MAFUTA? Kweli MUNGU anadhihakiwa sana
kama ccm itashinda watapewa ukuu wa wilaya na tu vyeo twingine
 
Back
Top Bottom