umewzaje kujipata hivyo na wife mpaka muda huu, licha ya mazito yaliyojificha kati yenu ndani ya nyumba yenu?
actually,
wengi wamekwamia hapo, wewe umawezaje mpaka umekua ni lesson kwa wengi na wanatamani kua kama mnavyoonekana mmeshibana na karibu mnafanana hadi sura kwa nje?
Mitazamo ikitofautiana kati ya watu wawili ni changamoto sana mkuu, Hamtaweza kushirikiana ambapo ushirikiano ndio msingi mkuu wa ndoa..
Kila mmoja katika kukua kwake amesoma, ameona au amesikia mambo tofauti tofauti ambayo ndiyo yana mjenga kua yeye...
Mambo haya ndiyo yamefanya wengine wanaimini Dini, wengine wasiamini Dini, wengine wanavaa suti, wengine Jeans, wengine wanapenda biashara, wengine kilimo, wengine wanajali, wengine wanajijali....
Unapotafuta jaribu kutafuta mtu ambae walau mna mitizamo ya aina moja; i mean maono yenu, imani ya kila mmoja wenu, lifestyle ya kila mmoja wenu, mnaichukuliaje pesa, marafiki zenu wakoje, kushukuru kwenu, kuongea kwenu, kusikiliza, ujasiri, kusamehe, nidhamu yenu.. n.k
Ukichota Maji yakiwa yamoto bhasi lazima yatapoa kurudi kawaida, Ukiyachukua katika hali ya ubarafu lazima yatayeyuka kurudi tena kuwa kawaida; Yachote yakiwa katika hali yake ile ile ya ukawaida ..
You need to be Smart and wise when choosing a wife; jua unatakiwa kumlipia mahari mtu ambae mtalea watoto vizuri, mtakua bega kwa bega kwa kila hali, Mtawajibika kila mmoja kuhakikisha mna move on..
Huzuni yangu ni kwamba vijana wasasa hawa-look for that type , They're seeking for pride and pleasure; Matiti makubwa, Sura imenyooka, Takotako; Kituko sasa baada ya kuanza kuishi ndio wanagundua pleasure & pride ni 10% tu kwenye ndoa na hapo ndio vituko kama hivyo huanzia..
Mimi nimeoa ila nikikutana na wanawake wa aina hiyo nawalamba kama kawaida napita hivi, Si hawataki ndoa wanataka pesa bhana .. Tena nawapakia mkongo
😆😆😆😆 Teh! Teh! Teh!