The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 964
- 2,553
Ndoa ina umri gn mkuu?mimi nafikir ndoa yangu ni njema sana na nina furaha sna
1.mke wangu ni mwenye kujishusha sana ikitokea sintofaham, ata kama mimi nimekosea hukaa kimya hadi siku nyingine ndo ataniambia kwa utulivu sana ,
huyu mwanamke nakiri ni wa ajabu sana, huwa anajua kuchagua maneno ya kutumia kwangu hadi najikuta mpole sana kwake
2. huyu mwanamkwe ananijua vilivyo, huwa ananiangalia tu machoni pangu na anajua nataka nini,
3. huyu mwanamke ana uwezo mkubwa wa kupika kama vile anafanya miujiza
4. huyu mwanamke huwa hakurupuki kabisa kwa jambo lolote lile, ni mtulivu plus+
5.huyu mwanamke ananijari kuliko ata mimi navojijari
6. huyu mwanamke huwa akihis tu nina hisia ananipa, kwa kifupi kucheat siwez kabisa maana muda wote huwa ananihitaji
7.mke wangu ni mzuri na amejengeka sana umbo lake huwa haniishi hamu
8. mke wangu ndo rafiki yangu namba moja
9. huyu mwanamke hachoshi kumtazama, ana macho mazuri sana
10.anazijua bajeti, nikimuachia hela ya matumizi huwa anajua kuipangilia hadi hela ya kununulilia kuku kila weekend inapatikana
11. huyu mwanamke huwa ananiambia ananipenda mala chache chache sana, Lakin matendo yake kuwa ananipenda ni mala 10000000000000
namuombea kwa mwenyezi mungu akifa aende peponi,
Mitazamo ikitofautiana kati ya watu wawili ni changamoto sana mkuu, Hamtaweza kushirikiana ambapo ushirikiano ndio msingi mkuu wa ndoa..umewzaje kujipata hivyo na wife mpaka muda huu, licha ya mazito yaliyojificha kati yenu ndani ya nyumba yenu?
actually,
wengi wamekwamia hapo, wewe umawezaje mpaka umekua ni lesson kwa wengi na wanatamani kua kama mnavyoonekana mmeshibana na karibu mnafanana hadi sura kwa nje?
5yearsNdoa ina umri gn mkuu?
nilishamwambia yeye ni mm, asiwe na waswas ya kuachwa, kwake nimefika nafocus na project tuHongera mkuu, inaonesha umetengeneza mazingira rafiki anakua huru kwako
Heeee 😅😅😅Hakujawahi kuwa na Furaha katika ndoa ..
Sikupingi mkuu
UHAKIKA MAN!!Sikupingi mkuu
Zaidi NAKAZIA
Wewe mshangazi upo wapi?? Pokea................Siri ni miti tu mheshimiwa......
KATAA NDOAhakuna ndoa yenye furaha
Ila wewe mdada🙌Siri ni miti tu mheshimiwa......
Ni vizuri kuwa na mazingira rafiki, ila sidhani kama ni vema sana kumpa uhakika namna hiyo asije akajiona 'anakumudu' akakuchukulia poa.nilishamwambia yeye ni mm, asiwe na waswas ya kuachwa, kwake nimefika nafocus na project tu