Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,590
- 22,506
hadi naandika hoja hii,
kuna kundi kubwa mno la waliowahi kua kwenye mahusiano, uchumba na ndoa, lakini wanasoma ujumbe huu mahususi wa urejesho sasa, wakiwa wamasambaratika si wamoja tena na wenzi wao, hawaishi pamoja na wala hawa wasiliani tena, ni maadui wa kubwa, wenye uhasama ambao kila moja wao anaona hausatahili kusameheana...
maskini watoto kama wapo wanateseka na kufedheheka sana katika hali hiyo, dah...
ili kuwatia moyo, kuwarejeshea matumaini na mwangaza mpya kwa waliokata tamaa ya maisha, kuhuisha nafsi za ambao wana hofu sana na hawataki tena kuskia habari ya mahusiano, uchumba au ndoa tena maishani mwao,
Tafadhali mpendwe, kwa unyenyekevu mkubwa, hebu kwa ufupi kabisa tushirikishe namna ambavyo umefanikiwa kuvuka milima na mabonde, hila na giliba za waliotamani kuvunja au kuvuruga ndoa yako, namna ambavyo ulikwepa vishawishi, visa na mikasa ya kutetetesha ndoa yako, na hata sasa unaishi kwa furaha, upendo na amani kiasi hicho katika mahusiana na ndoa yako kwa muda mrefu hivyo?
Ulifanyafanyaje ladies and gentlemen, ili angalau kusaidia wachache ambao hivi sasa wako dilema na wanao suasua, wanao legalega na kukaribia kukata tamaa kwenye changamoto wanazopitia kwenye mahusiano na ndoa zao?