Ningekuwa na Mamlaka, ningepiga marufuku uvutaji/uuzaji wa sigara aina zote

Mkuu ni sawa sawa na mtu kunywa sumu huwa inawahi kumuondoa mtu duniani mapema ndo kma hvyo madhara yatokanayo na sigara ni sawa na kunywa sumu maana unakuwa unajisogeza karibu na kifo..
Hataivyo hakuna kifo kisicho na kisababishi
 
Dawa ni kupandisha bei ya sigara. Sigara moja (piece) iuzwe buku.
 
Nikweli lakini
Kilimo cha tumbaku Tabora hiyo inajulika sana na mpaka viwanda vyake vpo , wasema nimmoja ya zao linalo ingizia Taifa pato kubwa! Kama Rais JPM atasema heeeee! Bunge litalipuka wakat wowote, wafanyabiashara watalia na yeye, kuzuia hiyo haiwezekani kabisa, mwenye kuogopa madhara ataacha asyeogopa hewala
Hataka wengine siku hiz wanachabganya na bang
Kama hivyo na unga wauache tu
 
Kampuni watanzania karibia 1000..unataka familia zetu zikale polisi..??mara ya mwisho umeangalia lini pakiti ya Sigara??maana toka mwaka jana tulibadili onyo na sasa Lima maandishi makubwa sana..
 
Very ignorant. Hivi unataka kuniambia hujui madhara ya kuvuta sigara?Baba yangu mzazi baada ya miaka mingi ya kuvuta sigara hatimaye alikufa kwa ugonjwa wa mapafu uliosababishwa na uvutaji wa sigara.Google "The side effects of cigarette smoking" upate taarifa kamili.
Polee kwa kumpoteza baba kutokana na Sigara, ni wengi wanaangamia na hili janga LA uvutaji sigara. Maamuzi magumu ya kuipiga marufuku hayana budi kufanyika ili kuokoa watanzania
 
Onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako. Hiyo sentensi ni dhahiri kuwa hupatikana kwenye package ya sigara mbalimbali ikiwa imeandikwa kwa herufu ndogo saana.

Imefikia hatua, katika jitihada za kupambana na madawa ya kulevya, ningependa kuishauri mamlaka husika pia kuliangalia swala LA uvutaji sigara aina zote nchini.

Vijana wengi wanaangamia kwa matumizi ya sigara hizi, kwa kujikuta baada ya utumiaji wq mda mrefu , mapafu(Lungs) hudhoofika na hatimae kushindwa kufanya kazi yake ya Upumuaji vizuri.

Imekua kawaida kukutana na Mtu anavuta sigara barabarani, bila hata kujali uelekeo wa upepo/moshi wa sigara, kiasi cha kuwa kero kwa watumiaji wengine wa barabara.

Pamoja na hayo, imefikia hatua utoaji wa elimu tu ya madhara ya uvutaji wa sigara haitoshi, jitihada za kuzuia uzalishaji na uuzaji wake zinapaswa kufanyika ili kuokoa kizazi kinacho athirika na matumizi ya sigara aina zote, pasipo kujali kodi inayolipwa kutokana na Bidhaa hii.

Kwani kwa kuzuia uzalishaji wake, watumiaji hawatakuwa na fursa ya kuzipata Sehemu yoyote ile, na hivyo watalazimika kuziacha kwa coz of no alternative, na kwa namna hii watakua wamesaidiwa kuepukana na madhara ya kuharibu Mapafu kwa uvutaji wa sigara.

Benylin M.

Nawasilisha hoja
Nilidhani ungeshughulikia ugonjwa wa Malaria kwanza? Coz ndio ugonjwa unaoua watu wengi zaidi kuliko hata hizo sigara.
 
Hivi sigara sio miongoni mwa madawa ya kulevya maana inanyongwa kama ngada tu au kwa kuwa yenyewe imepita kiwandani ikawekewa sumu ya kuuwa taratibu
 
Onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako. Hiyo sentensi ni dhahiri kuwa hupatikana kwenye package ya sigara mbalimbali ikiwa imeandikwa kwa herufu ndogo saana.

Imefikia hatua, katika jitihada za kupambana na madawa ya kulevya, ningependa kuishauri mamlaka husika pia kuliangalia swala LA uvutaji sigara aina zote nchini.

Vijana wengi wanaangamia kwa matumizi ya sigara hizi, kwa kujikuta baada ya utumiaji wq mda mrefu , mapafu(Lungs) hudhoofika na hatimae kushindwa kufanya kazi yake ya Upumuaji vizuri.

Imekua kawaida kukutana na Mtu anavuta sigara barabarani, bila hata kujali uelekeo wa upepo/moshi wa sigara, kiasi cha kuwa kero kwa watumiaji wengine wa barabara.

Pamoja na hayo, imefikia hatua utoaji wa elimu tu ya madhara ya uvutaji wa sigara haitoshi, jitihada za kuzuia uzalishaji na uuzaji wake zinapaswa kufanyika ili kuokoa kizazi kinacho athirika na matumizi ya sigara aina zote, pasipo kujali kodi inayolipwa kutokana na Bidhaa hii.

Kwani kwa kuzuia uzalishaji wake, watumiaji hawatakuwa na fursa ya kuzipata Sehemu yoyote ile, na hivyo watalazimika kuziacha kwa coz of no alternative, na kwa namna hii watakua wamesaidiwa kuepukana na madhara ya kuharibu Mapafu kwa uvutaji wa sigara.

Benylin M.

Nawasilisha hoja

Uwezo wa kuzuia unao kaka,kwa level ya familia yako
 
Back
Top Bottom