Ningekuwa Kiongozi wa Upinzani, Jumamosi Ingekuwa siku ya Maandamano Against ACACIA

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,359
5,209
Achana na UKUTA hii ingeitwa Operation ACACIA Out, na hayo maandamano yangefanyika Jumamosi, najua hakuna ambaye angeniomba kibali manake washiriki ni Watanzania wote Wazalendo na mgeni ambaye angepokea hayo maandamano angekuwa rais, hapo ningepata kick kutoka kwa watanzania wote...
 
ilisha fanyika, enzi za zzk yupo chadema, walizinguka nchi nzima , lakini wapi, wamekuja kina lisu, wamenyimwa posho kwa sababu ya kutaka mikataba ya acacia.

Mkuu kama huna cha kuandika kaa kimya, naona unawachukulia wapinzani poa sana, au Chai za lubumba zimekulenya.
 
Mkuu...sasa si hii ndo ingekuwa ya kupatia kick, kuna kick zaidi ya hii?
 
utapigwa mabomu. maandamano na mikusanyiko ilipigwa marufuku. mkuu au umesahau?
 
Upinzani Tanzania ni kupinga mazuri na mabaya yote ya serikali. Kwa hiyo hilo wazo lako haliendani na maana halisi ya Upinzani Tanzania.
 
Acacia hadi sasa makosa yao sijayaona ila ya CCM ni kila kona ni uchafu mtupu
 
Sio lazima uwe kiongozi wa upinzani, hata wewe pata kibali uhamasishe watu waingie front. Hata rais alitoa mfn bila polisi yetu au akiamuru wananchi waingie migodini ni dk 0.
 
Hayo Maandamano inabid wafanye Ccm waana wao ndo waliowakaribisha Acacia kwa miguu miwili na sasa wameoneshwa kua tunaibiwa sana wanataka Acacia waondoke
 
Magufuli hoyeeeeeeee! Wapinzani hongereni sana na mungu awalinde kilio chenu hakikuwa bure, baada ya miaka mingi kilio chenu kinasikika, sikuamini masikio yangu nilipomsikia raisi akimwagiza ndugai mikataba ipitiwe na bunge, ewe mzee sitta pumzika kwa amani.

Wapinzani kapungeni upepo bungeni na kukenua ni zamu ya CCM kuwajibika.
 
Sio lazima uwe kiongozi wa upinzani, hata wewe pata kibali uhamasishe watu waingie front. Hata rais alitoa mfn bila polisi yetu au akiamuru wananchi waingie migodini ni dk 0.
Basi mi na wewe tufanye ivyo jmosi...kma na wewe una uzalendo?
 
Wale akili ccm Lumumba wanajulikana hayo niloyategemea mno na bado
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…