Ningekuwa kiongozi katika vyama vya Upinzani Nisingetia timu Uchaguzi wa 2020 JPM kakaba kona zote

Kama unauhakika na jitihada za mzee mwambie 2020 aingie kwenye uchaguzi bila campaign na kuwe na tume huru ya uchaguzi uone kama atatoboa
 
"Haya matendo ya vyombo vya usalama kutumia nguvu sehemu ambazo nguvu haipaswi kutumika yanajenga chuki kati ya serikali na wananchi, yatajenga chuki kati ya Rais na wananchi, yatajenga chuki kati ya CCM na wananchi" Nape Nnauye
 
Kwa kweli wapinzani watapata shida sana 2020. Kwa staili hii hawana pashika. Wakisema ufisadi watu watawacheka wafe. Wakubali tu kujiunga na CCM LA SIVYO UBUNGE HAWATAONA TENA
 
Hayo mtajuana wanasiasa.sisi wananchi tunalia hali ngumu ya maisha. Tutaamua 2020
 
Kweli Katapila (The Bulldozer) kama wazungu wanavyomuita Kwa Kiasi Kikubwa amefanikiwa Kupunguza Rushwa, Uzembe makazini na kingine kupunguza Matumizi yasiyo ya Lazima kama Posho za Makalio.

Hili la Kufuka wafanyakazi waliotengeneza Vyeti Stationery nalo limempa sifa ya Kipekee ndani na Nje ya Nchi Rais wetu ndugu John Magufuli Kiasi kwamba Nafikiria kama ni Kiongozi katika Vyama vya Siasa nisingeshiriki Uchaguzi wa Mwaka 2020.

Hebu chukulia mfano umepanda jukwaani Unapiga kampeni imagine Kama uko chama cha Upinzani mwaka 2020 utakua unaongelea vitu hivi hapa chini.

-Tutahakikisha Bashite anatoka Madarakani Mara baada ya Kuapishwa kwangu.

-Tutahakikisha Rambirambi zinawafikia wafiwa katika Utawala wetu.

-Tutahakikisha Kila Mtu anapata wasaa wa Kuongea Misibani hats kama anatokea chama cha Upinzani

Kwa sababu yote yameshafanywa na Rais John Magufuli yanini nigombee tena siwezi Kuzungumzia mambo ya Reli katika Kampeni Reli inajengwa kwa kiwango Bora.

Flyovers ndo kabisa zinajengwa, Miundombinu ya Maji imeshafika kwa mwenye Kitila Mkumbo, Elimu Bure, Afya viwanda Vya Dawa Vinakuja Kibaha.

Anga Ndo Balaa Dreamliners Zitakua Zinapishana Kwenye Anga za Ulaya, Asia, Amerika na Australia.

Kama nagombea Kupitia Upinzani Nitaongelea nini 2020?
-
Wewe unajitekenya halafu unajichekesha tu.

1. Tangu Rais Magufuli aingie madqrakani, hali ya maisha imekuwa ngumu zaidi. Upatikanaji wa pesa umekuwa mgumu, bei za vyakula zimepanda.

2. Wafanyakazi hawapandishwi Madaraka wala mishahara, kazi ni kumbuliwa na operesheni za wafanyakazi hewa na vyeti fake.

3. Bajeti ya 2015/16, serikali imepeleka 34% tu kwenye miradi ya maendeleo.

4. Kwasababu serikali haina fedha inasubiri misiba na majanga ili itumie rambirambi kutimiza ilani ya CCM.

5. Kwa kauli na matendo serikali haionyeshi kuguswa na majanga yanayowakuta wananchi kama tetemeko la ardhi, Ajali, mauaji na njaa.

Haya mambo yanawagusa sana wananchi. 2020 siyo mbali
 
Bei ya Unga Ina Vary Kila Miaka sisi ambao mwaka 1998 tulikua wakubwa tunalijua hili kilichotokea Tanzania.

Wewe hupati hata ukatibu kata, unajua JPM hataki vilaza kwenye serikali yake sasa kwa post zako za kijinga ukiamini atakuteua utasugua sana bench.
 
Kweli Katapila (The Bulldozer) kama wazungu wanavyomuita Kwa Kiasi Kikubwa amefanikiwa Kupunguza Rushwa, Uzembe makazini na kingine kupunguza Matumizi yasiyo ya Lazima kama Posho za Makalio.

Hili la Kufuka wafanyakazi waliotengeneza Vyeti Stationery nalo limempa sifa ya Kipekee ndani na Nje ya Nchi Rais wetu ndugu John Magufuli Kiasi kwamba Nafikiria kama ni Kiongozi katika Vyama vya Siasa nisingeshiriki Uchaguzi wa Mwaka 2020.

Hebu chukulia mfano umepanda jukwaani Unapiga kampeni imagine Kama uko chama cha Upinzani mwaka 2020 utakua unaongelea vitu hivi hapa chini.

-Tutahakikisha Bashite anatoka Madarakani Mara baada ya Kuapishwa kwangu.

-Tutahakikisha Rambirambi zinawafikia wafiwa katika Utawala wetu.

-Tutahakikisha Kila Mtu anapata wasaa wa Kuongea Misibani hats kama anatokea chama cha Upinzani

Kwa sababu yote yameshafanywa na Rais John Magufuli yanini nigombee tena siwezi Kuzungumzia mambo ya Reli katika Kampeni Reli inajengwa kwa kiwango Bora.

Flyovers ndo kabisa zinajengwa, Miundombinu ya Maji imeshafika kwa mwenye Kitila Mkumbo, Elimu Bure, Afya viwanda Vya Dawa Vinakuja Kibaha.

Anga Ndo Balaa Dreamliners Zitakua Zinapishana Kwenye Anga za Ulaya, Asia, Amerika na Australia.

Kama nagombea Kupitia Upinzani Nitaongelea nini 2020?
-
Hakuna mpizan anae weza fanya kaz na kilaza km mwenye akil mgano na mufilisi
 
Vya kuzungumzwa na kufanywa au kuboreshwa au kuanzishwa vitakuwepo... Ajenda haziwezi kukosekana...

Nchi zilizoendelea a.k.a first world countries kwenye chaguzi zao bado wagombea wanaahidi vitu kibao... Itakuwa hapa dunia ya tatu...

Cc: mahondaw
 
Huwezi kuwa kiongozi wa upinzani,so endelea na ndoto zako za kusadikika
 
Back
Top Bottom