Sir Bujiku Official
Member
- Jan 9, 2025
- 9
- 13
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu.
Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua mwanamke anayenipenda kutoka moyoni mwake.