Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,318
- 7,309
Wazo zuri, safi sana kijana. Ila nahisi kama sijakuelewa hivi, unajua kila organization inakuwaga na kiongozi. Unaweza kufafanua kidogo kuhusu suala la uongozi n.kit's not about kuacha shule it's about on how youth one can be helped from downward to upward through getting experience from different computer experts from Tanzania.
Thinks that twice bro.,Vijana ambayo tunahitaji kuendelezea teknolojia ya nchi yetu tunaumia hivyi..Hii haitasaidia tu vijana ambao wana vumbuzi bali itasaidia watu wote wanaohitaji kujifunza teknolojia
Nchi yetu ina watu mbalimbali katika teknolojia kwanini wasigawe ujuzi wao kwa watu wengine? ndo maana nikawaza association hii ambayo itawaunganisha vijana mbalimbali na computer experts mbalimbali wa nchini Tanzania...