Ninavyowafahamu wanaume wa Kisukuma

Ni mtu aliye ju.ha kama gunia la mawe tu ndo anayeweza kuhusisha kabila na kughushi vyeti.

Hivyo vitu viwili havina uhusiano wowote ule wa moja kwa moja wa vinasaba.

Hilo ni suala, tabia ya mtu binafsi. Yaani yeye kama yeye.

Hii ni karne ya 21 na mambo madogo na mepesi kama haya wala hayapaswi kabisa kuwepo akilini mwa mtu yeyote yule mwenye akili timamu.

Kama katika hii karne ya 21 bado kuna watu wana mawazo ya kijinga namna hiyo basi wao ndo wenye matatizo makubwa zaidi kuliko hata hao wanaoghushi vyeti vya kitaaluma.

Vyeti na kabila wapi na wapi?

Good lord!!!!!!!!!!!
Aliyegushi vyeti ni Bashite, mambo ya wasukuma hatutaki humu na hakuna ushahidi wowote kama hawakufanya mapenzi.
 
Sasa ukabila unakujaje kwenye vyeti?

Toka jana naona mnaendeshwa na stori nape magu konda. Na JF ikiendelea kuboa hivi bora kujiunga FB.
 
Nalebhona abhasuguma ng'wasaya mpaga eshindo jing'we jasama. Nyaneng'we nu Bashite wing'we
 
Sky Éclat naona umetuma huu uzi saa kumi na dakika kumi za alfajiri, pole umedamka mapema sana! au labda uko kwenye nchi ambayo masaa yake ni tofauti na hapa Tanzania.
 
Habari za asubuhi wapendwa,
Ajira yangu ya kwaza ilikuwa katika shirika la kigeni, katika shirika lile nilikutana na makaka wawili wa ki-Sukuma wakiwa waajira wenzangu. Nitawaelezea kama A na B.

A alikuwa ni kaka wa miaka 30-34 na wakati ule alikuwa kati kati ya research ya PhD yake, kwakweli huyu tulimuona kama kaka mkubwa, alitupa ushauri na alipenda sana tusome. B alikuwa kati ya 24-25 yeye ndiyo alikuwa amemaliza tu USDM, huyu nilikuwa karibu nae Zaidi kwani umri wetu kwa wakati ule haukuwa umepishana sana pia wote tulikwa wa-Katoliki hivyo tulikutana kanisani mara nyingi. Maka wote wawili hawa hawakuwa wanywaji wa pombe.

Mimi na B tulikula lunch pamoja, na J2 baada ya misa kulikuwa na mkahawa tulipata kifungua kinywa. Akiwa bado hajaoa alikwa ananiambia akienda nyumbani moja kwa moja baada ya misa J2 inakuwa ndefu. Tuliifupisha J2 kwa kusoma magazeti na kufungua kinywa mpaka saa sita hivi ndiyo kila mtu alielekea kwake. Kwakweli mahusiano yetu hayakuhusisha mapenzi, lakini tulikuwa marafiki wazuri sana.

-Wote wawili walikuwa wachapa kazi, walifanya kazi sana wala hawakujali muda wa kumaliza kazi lakini kusiwe na kipolo.
-Wote walikuwa nadhifu na wakujipenda pia walikuwa na kujisikia lakini pia walikuwa wakarimu mno.
-Hawakuwa watu wa majungu na umbea na walipenda sana elimu.

Hii ya kusikia wa-Sukuma wanao forge vyeti na elimu kwakweli ni mbali na mazoea ya wa-Sukuma niliowazoea.
Umewaeleze vizuri sana Wasukuma na ndio walivyo. Tabia nyingine ambayo masikini watanzani wengi wahana ni kusema UKWELI Kusema UKWELI. Watanzania wanapenda kudanganywa na mambo kama Maisha Bora kwa Kila Mtanzania ni si kuwa LIPENI KODI!
 
Mbona ni kweli ulicho ongea walio panic ujue ndio wasukuma wenyewe kama kawaida
 
Wewe huwajui wanaume wa kisukuma wewe!
wengi wao wakipata cheo kidogo tu ni shidaa wanageuka Miungu watu
 
Habari za asubuhi wapendwa,
Ajira yangu ya kwaza ilikuwa katika shirika la kigeni, katika shirika lile nilikutana na makaka wawili wa ki-Sukuma wakiwa waajira wenzangu. Nitawaelezea kama A na B.

A alikuwa ni kaka wa miaka 30-34 na wakati ule alikuwa kati kati ya research ya PhD yake, kwakweli huyu tulimuona kama kaka mkubwa, alitupa ushauri na alipenda sana tusome. B alikuwa kati ya 24-25 yeye ndiyo alikuwa amemaliza tu USDM, huyu nilikuwa karibu nae Zaidi kwani umri wetu kwa wakati ule haukuwa umepishana sana pia wote tulikwa wa-Katoliki hivyo tulikutana kanisani mara nyingi. Maka wote wawili hawa hawakuwa wanywaji wa pombe.

Mimi na B tulikula lunch pamoja, na J2 baada ya misa kulikuwa na mkahawa tulipata kifungua kinywa. Akiwa bado hajaoa alikwa ananiambia akienda nyumbani moja kwa moja baada ya misa J2 inakuwa ndefu. Tuliifupisha J2 kwa kusoma magazeti na kufungua kinywa mpaka saa sita hivi ndiyo kila mtu alielekea kwake. Kwakweli mahusiano yetu hayakuhusisha mapenzi, lakini tulikuwa marafiki wazuri sana.

-Wote wawili walikuwa wachapa kazi, walifanya kazi sana wala hawakujali muda wa kumaliza kazi lakini kusiwe na kipolo.
-Wote walikuwa nadhifu na wakujipenda pia walikuwa na kujisikia lakini pia walikuwa wakarimu mno.
-Hawakuwa watu wa majungu na umbea na walipenda sana elimu.

Hii ya kusikia wa-Sukuma wanao forge vyeti na elimu kwakweli ni mbali na mazoea ya wa-Sukuma niliowazoea.
Ha ha ha, sijaihusisha story yako na ukabila. Ila nahisi inamlenga Daudi Mwana wa Mfalme, na cheti cha kufoji.
 
Ni mtu aliye ju.ha kama gunia la mawe tu ndo anayeweza kuhusisha kabila na kughushi vyeti.

Hivyo vitu viwili havina uhusiano wowote ule wa moja kwa moja wa vinasaba.

Hilo ni suala, tabia ya mtu binafsi. Yaani yeye kama yeye.

Hii ni karne ya 21 na mambo madogo na mepesi kama haya wala hayapaswi kabisa kuwepo akilini mwa mtu yeyote yule mwenye akili timamu.

Kama katika hii karne ya 21 bado kuna watu wana mawazo ya kijinga namna hiyo basi wao ndo wenye matatizo makubwa zaidi kuliko hata hao wanaoghushi vyeti vya kitaaluma.

Vyeti na kabila wapi na wapi?

Good lord!!!!!!!!!!!
mkuu mtake radhi mtoa mada...kwa tafsri sisi maana yake hapo mtoa ada ni ju.ha....au kwakuwa umegongwa kigongo cha kwenye ugoko? {samahani kama nimekuwaza}
 
Karne ya 21, kabila vs vyeti vya kughushi? Anyway, huwezi jua mleta mada anapitia yapi katika maisha.
 
Back
Top Bottom