NIYOMBARE
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,718
- 4,226
Mm nasubiri pia kutoka kwako.Napenda sana nyuzi za namna hiyo
Kama ya warumi ilikuwa nzuri sana japo sikuuliza chochote
Naisubiri na hii kutoka kwa Eve
Mm nasubiri pia kutoka kwako.Napenda sana nyuzi za namna hiyo
Kama ya warumi ilikuwa nzuri sana japo sikuuliza chochote
Naisubiri na hii kutoka kwa Eve
Naomba unilipe basi ile laki yangu.Mbona sio mwaminifu wewe Kakole jamani?Kwani anakudai? mimi sikurubuni najaribu kukupa picha halisi ya namna utakavoishi kwa raha na starehe ww sio wa kufungiwa stoo bana, jitahidi kuchukua maamuzi ya haraka kbl wenzio hawajachangamkia hii fursa hadimu.
Muwe mnaaangalia na mda mnaopost vitamanishio kama hivi jamani sasa ndo nini kusababisha kazi isiende,,daaaa hiyo supu nimebaki nameza mate tuu,,
Chapati kutoka jikoni kwa Evelyn na sweet mangii wake Mentor
View attachment 472217
View attachment 472218
Kumbe hana hiyana, ngoja na mimi niende huko pm.
Chapati kutoka jikoni kwa Evelyn na sweet mangii wake Mentor
View attachment 472217
View attachment 472218
Unasubir nn ww kaa mbaliMm nasubiri pia kutoka kwako.
BAK salamu zangu zikufikie popote pale ulipoEvelyn Salt unaitwa huku. Njoo na chapati zako.
Kuna usemi ni wako akiwa kwako akishatoka ni wa mwingineI am watching you bro..
Nakupenda Manka wangu...Ni masaa manne tu tangu tuachane kitandani ila tayari nimeshakumiss!!!
Nenda hapo stand kwa mama muuza utazikutaMuwe mnaaangalia na mda mnaopost vitamanishio kama hivi jamani sasa ndo nini kusababisha kazi isiende,,daaaa hiyo supu nimebaki nameza mate tuu,,
Hazitakuwa tam kama hizoNenda hapo stand kwa mama muuza utazikuta
nani kapika?
Chapati kutoka jikoni kwa Evelyn na sweet mangii wake Mentor
View attachment 472217
View attachment 472218
Kwa hiyo umejisahaulisha?mmmmh! unanidai tena madam?
Kuna mwingine unasema MKE WA MTU SUMU.Kuna usemi ni wako akiwa kwako akishatoka ni wa mwingine
hadi ifike arobaini yakoKuna mwingine unasema MKE WA MTU SUMU.
Sasa wewe gusa unase.