Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

It is more of technical and psychological thing rather than physical.
Kuna mtu nilipata tabu kumpandisha juu ya kilima ila siku aliponiambia "uwe unashika na hapa" basi nikiwa namaliza kilima na gear ya kwanza ye anatembea na gear pili au tatu
Ila tukubali wanawake wanatofautiana sana na ni complicated kama advanced physics, msome kwanza ikishindikana uliza
 
Very complicated. Maeneo yenye msisimko yanatofautiana.
Wengine masikio, wengine matiti wengine buttocks. Ili mradi mwanaume uwe mdadisi na mchokozi.
 
Upendo kwa mwanaume ukipungu hana haja kujua mwanamke karidhikia au la. Ni upendo tu!
 
Wanawake wapuuze... Kwanza hawajui kutidhishwa maana yake ni nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…