Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

Ukiwa mchepukaji lazima utachanganyikiwa kwa sababu wanawake wako tofauti kuanzia maumbile yao ya siri mpaka kwenye sehemu zao za mwili ambazo ziko 'sensitive' zaidi to 'touch'.kwa hio inabidi uwe naye kwa muda kuweza kumstudy na kumjua vizuri. Ndio maana nimesema wake sio michepuko.

sio kama unavyofikiri, kuna wengine wakitoka wako fiti balaaa ila kwa mke shida. Hapa inachangiwa na mazingira pia wakati mwingine ukiwa nje mnakua safe zaidi kiusalama kuliko nyumbani kwenye watoto. So mazingira yanachangia sana japo hata usafi pia. Ukikuta mwanamke anaintertain watoto hadi bedroom hapo inakua shida sana. Wengine wako sensitive sana na kauli za mdomini so ukipata mwanamke domo linalopoka tu shida sana. Mambo mengi kwa kifupi yanachangia sana na ishu sio kusishiwa nguvu wala nini. Angalia kipindi muko kwenye mahusiano tu ilikuwaje na baada ya kuona imekuwaje?. Hapo ndio utagundua kuna vitu vimeua msisimko wenu
 
Inakuwaje mwanamme mzima ukiwa na zana zote unashindwa kumridhisha mkeo. Wale malesbian hawana 'vifaa' muhimu lakini bado wanawaridhisha wenzao sembuse wewe mwanamme mwenzangu?
Mapenzi ni fani tujifunze kabla hatujaanza kuibiwa.
Nawasilisha.
Ukikua utayaona, wanawake akiingia ndani anabweteka na kukatisha tamaa. Akizinduka anaanza ati haridhishwi
 
all women are different, kuna wanawake unaweza kuwa unafanya mambo flan wana ridhika, wengine ukifanya hayo hayo hawaridhiki. so mwanaume inatakaiwa u mstudy mpenzi wako vizuri

wanawake nao wana play part kuto ridhishwa, ukiwa na kiburi, mchunaji, una maneno ya dharau kisaikolojia huwezi ridhishwa, ndio maana kwenye ndoa hao hao wanawake wengi wanao sema hawaridhishwi unakuta wanaume wao wana michepuko na wanapiga kaz vizuri tu.

wanawake acheni kuwa selfish siyo tuwaridhishe, turidhishane, siyo tuwandae, tuandaane.
 
Huwezi kushindana na ulipotokea.
Hapa ndo wengi hatujaelewa... Tuna mentality ya mashindano... Sio swala la mashindano wala kutumia... Mwili wa mwanamke ni kama smartphone....ni swala la kutouch the right places and not otherwise.
 
all women are different, kuna wanawake unaweza kuwa unafanya mambo flan wana ridhika, wengine ukifanya hayo hayo hawaridhiki. so mwanaume inatakaiwa u mstudy mpenzi wako vizuri

wanawake nao wana play part kuto ridhishwa, ukiwa na kiburi, mchunaji, una maneno ya dharau kisaikolojia huwezi ridhishwa, ndio maana kwenye ndoa hao hao wanawake wengi wanao sema hawaridhishwi unakuta wanaume wao wana michepuko na wanapiga kaz vizuri tu.

wanawake acheni kuwa selfish siyo tuwaridhishe, turidhishane, siyo tuwandae, tuandaane.
You are very right Iceman.
 
Back
Top Bottom