Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 700
- 1,842
Kazi nzuri Boss wangu
Kama n guest ukifungua nikaribishe mjuu kwenye ufunguzi
Kama WW una hela shukuru mungu acha dharauTafuta hela usifanye kazi nusu nusu kwaajil ya kuokoa gharama za ujenzi
Tiles kunyooka sometime inategemea aina ya tiles kuliko fundi, ukiwa mbahili ukaangukia porcelain hizi za Tanzania inabidi upate fundi haswa ainyooshe, ila ukichukua jiwe marble ama granite hata fundi akiwa wa kawaida ngumu kuipindisha.Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa km unatoka mbali itakuwa ngumu,naomba kwenye comment weka picha ya kazi zako na namba ya simu ntakufuata inbox
+255 686 196 666 mchek huyu yupo Tanga anajua namfahamu na naimani atakidhi VIGEZO vyakoHabari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa km unatoka mbali itakuwa ngumu,naomba kwenye comment weka picha ya kazi zako na namba ya simu ntakufuata inbox
Ana hoja tatizo uwasilishaji wake ndiyo tatizo.Kama WW una hela shukuru mungu acha dharau
Hajui km watu Hela za kuungaunga tunajenga chumba kimoja kimoja mpk nyumba inaisha na nyumba inaisha ukipga hesabu umetumia hata million 50 lakini hyo million 50 ningesema niweke mpk ifke ndio nijenge isingefikaAna hoja tatizo uwasilishaji wake ndiyo tatizo.
Msamehe.
Mleta mada obviously ni Mtanzania wa kipato cha kawaida hizi hataziweza labda ashauriwe tu achukue kampuni hizi hizi za kawaida ila brand nzuri achukue TwyfodTiles kunyooka sometime inategemea aina ya tiles kuliko fundi, ukiwa mbahili ukaangukia porcelain hizi za Tanzania inabidi upate fundi haswa ainyooshe, ila ukichukua jiwe marble ama granite hata fundi akiwa wa kawaida ngumu kuipindisha.
Leo ndiyo najifunza kumbe ubora unakwenda na kampuniMleta mada obviously ni Mtanzania wa kipato cha kawaida hizi hataziweza labda ashauriwe tu achukue kampuni hizi hizi za kawaida ila brand nzuri achukue Twyfod
Sahihi kabisa.Hajui km watu Hela za kuungaunga tunajenga chumba kimoja kimoja mpk nyumba inaisha na nyumba inaisha ukipga hesabu umetumia hata million 50 lakini hyo million 50 ningesema niweke mpk ifke ndio nijenge isingefika
Ndiyo mkuu.Leo ndiyo najifunza kumbe ubora unakwenda na kampuni
Asante sana mkuuNdiyo mkuu.
Kuna tiles ukinunua wakati wa kubandikwa utakuta zinapishana vipimo upana na unene so fundi asipokuwa mzuri mauwa yanapotea ila hizo Twyford zina afadhali kibongo bongo
Siyo mtaalamu sana mimi nilikuwa mteja tu ila mafundi wengi Tanzania wana-prefer hiyo kampuni kwa sababu haiwapi shida wakati wa kuijenga sababu kuu ikiwa ni kivipimo zimekaa vizuri.Asante sana mkuu
Kwahiyo ukiacha Tywford ipi kampuni bora zaidi
Utofauti bei sio mkubwa sana unakuta sometime as cheap as 5000 tu kwa box, sema kama fundi anajiamini hata porcelain anainyoosha,Mleta mada obviously ni Mtanzania wa kipato cha kawaida hizi hataziweza labda ashauriwe tu achukue kampuni hizi hizi za kawaida ila brand nzuri achukue Twyfod
👍🤝Siyo mtaalamu sana mimi nilikuwa mteja tu ila mafundi wengi Tanzania wana-prefer hiyo kampuni kwa sababu haiwapi shida wakati wa kuijenga sababu kuu ikiwa ni kivipimo zimekaa vizuri.
Kampuni zinazochuana sokoni ni mbili (kwa wateja vipato vya chini) ambazo ni hii Twyford nyengine Good One then utakutana na za India na Spain ambazo bei zimechangamka kidogo.