Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 707
- 1,876
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa km unatoka mbali itakuwa ngumu,naomba kwenye comment weka picha ya kazi zako na namba ya simu ntakufuata inbox