Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 562
- 590
Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!!
Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao muhimu kama hivi vya kibajeti visifanyike kama asilimia zaidi ya 50 ya wabunge hawapo? Nini maoni yako?
Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao muhimu kama hivi vya kibajeti visifanyike kama asilimia zaidi ya 50 ya wabunge hawapo? Nini maoni yako?