Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
538
246
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.

Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam.

Umri = 31
Elimu = Form four
Uraia = Mtanzania
Uzoefu = Miaka minne

Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma, umakini, ubunifu na uaminifu ukafanya nipelekwe kwenye moja ya deport ya kampuni hiyo nikawe stock controller ambaye pia at the same time nikawa section controller.

Nina uzoefu wa kukagua na kupokea stock au bidhaa zinazotakiwa kuingia store/deport.
Lakini pia nina umakini wa kuhakikisha kila kinachotoka store kinatoka Kwa idadi inayotakiwa.
Nina uzoefu wa kuhesabu stock na kuitunza pasipo bidhaa / stock ku-expire na hasa kwa kuzingatia kanuni ya FIFO ( First In First Out ).
Nina uzoefu wa kufanya sycle count ambacho ni kipimo cha kupimia stock Ili kujua je stock iliyotoka store inaendana na stock iliyobaki? Maana hatutakiwi kupata shot.

So, kinachoingia store/deport na kinachotoka ni lazima iendane na kitakachobaki. Kwa mfano, tumeamka na Opening stock ya maboksi 4758, then check out ni 1757. This means physical stock inayotakiwa kubaki store 3001. So tukihesabu ni lazima tupate hiyo namba.

Now, kwasasa Sina kazi baada ya mkataba wangu kwenye kampuni niliyokuwa naifanyia kazi kuisha. Hivyo nipo mbele yenu kuomba kazi. Naahidi uaminifu, kujituma, ubunifu, umakini na uwajibikaji.

Contact : 0676558714
 
Hapo mchawi ni cheti angalau cha level ya astashahada ,makampuni mengi yanahitaji watu kama wewe ila sasa mfumo wa ajira Tanzania unaamini sana katika cheti kuliko utendaji wa mtu ungapambana usome certificate ya store ingekusaidia zaidi.
 
Hapo mchawi ni cheti angalau cha level ya astashahada ,makampuni mengi yanahitaji watu kama wewe ila sasa mfumo wa ajira Tanzania unaamini sana katika cheti kuliko utendaji wa mtu ungapambana usome certificate ya store ingekusaidia zaidi.
Hata ambao wana cheti husika na kazi hawana.
 
Back
Top Bottom