much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 10,401
- 15,395
Sasa kwanini mtume adanganye zimeshushwa wakati ni Hadith zilizokuepo kuhusu yesu mbona kwenye ukristo iko wazi Kuna agano jipya na la kale na ukristo uko wazi mwasisi wake ni yesu kristo.Mitume katika uislamu walikua wanakuja kurekebisha walimwengu waliokengeuka. So mtume alikuja kusahihisha panapokosewa.
Ukitumia kigezo cha muda kuna watu walikuwepo kabla kuzaliwa yesu na walikua na dini zao, bas tuseme hadithi za kiebrania zinazoitwa za kikristo pia ni za kukopi kwa dini iliyokuwepo kabla yake.
Na unaposema ni HADITHI unamaanisha nn hasa?