Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 3,064
- 9,316
Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial?
Unaweza kuta kweli njia wanayooiongelea ni sahihi ila wanaitumia kama technique ya kukufanya kuwa sehemu ya genge lao.
Nini dhumuni la genge lao, kumiliki dunia? Kuwatumia watu kuwa jeshi kupigania chuki zao dhidi ya kundi lingine?
Kwanini wawe tena tofauti, kama ni watoto wa muumbaji mmoja kwa nini wachukiane.
Sisi ni product ya itikadi zao, wengine walikuwa sociopaths, wengine psychopath , wengine walikuwa wapenda vita(war mongers), wengine walikuwa ni taifa katili,
Ila leo ndio tumeamua kuwa ndio wawe mashujaa wetu huku tukijietengenezea hofu kuwa tuki wa-criticize tutalaanika.
THINK, THINK AGAIN.