Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

Acha kuvuta sigara na bangi na mirungi
Acha pombe aina zote
Acha nyama nyekundu
Kula mboga nyingi na matunda halafu usigombane na mkeo.
Nakupa siku mbili. Tatizo kushne
 
Hii huletwa na mambo mengi. ea vyakula unavyo kula sigara na kikubwa zaidi kuliko yote ni frustration za maisha lakini mwone daktari kwa ushauri zaidi. Usije kujaribu dawa za kimasai maana namfahamu mtu alitumia siku 4 haikulala akataka kufa
 
Watakuja kukugongea mkuu, kwa nini usimshirikishe kinaga ubaga kusudi mtatue tatizo wote. Zingatia mazoezi, epuka vyakula vya mafuta kama chips mayai, tumia asali, tangawizi, mdalasini, habat piga hio mixer kila siku utaona mabadiliko tu. Gegedo litakaza tu.
 
basi huenda hajui halisemalo

Maana ni kitu cha kushangaza kidogo

Yani uume uingine ukeni halafu mke asijue kitu kilichomuingia kama ni lege lege au laaah ni kitu kisichowezekana kwa kweli.
Yaan mm nimeshindwa hata kushangaa yaan! Au mkewe anakua kalala au anamzuga na dildo?
 
Pole sana mkuu

Hilo ni tatizo ambalo linaweza kutokea kwa Mwanaume yoyote yule na sababu nyingi zinazopelekea uume kuwa legevu ni mfumo wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi

Watu wengi hudhani kuwa punyeto (masturbation) pekee ndio huleta hili tatizo huku wakisahau unaweza ukawa hujawahi kujihusisha na kujichua na bado ukapata hilo tatizo

Cha msingi hapo badili mfumo mzima wa vyakula mkuu pubguza chipsi mayai pendelea sana kula vyakula visivyokobolewa na matunda kwa wingi na usisahau kufanya mazoezi mara kwa mara sababu yawezekana mishipa inayopeleka damu kwenye uume imejaa mafuta hivyo yanazuia damu kupita kwa wingi na ndio maana uume umelegea

kama ikishindikana kujitibu kwa lishe ni pm kama utahitaji mafuta ya mitishamba ya kupakaa kwenye uume uliolegea ili kuimarisha misuli iliyoathirika na yanafanya kazi vizuri

Pole sana
Miti shamba ni nini?
 
Acha kuvuta sigara na bangi na mirungi
Acha pombe aina zote
Acha nyama nyekundu
Kula mboga nyingi na matunda halafu usigombane na mkeo.
Nakupa siku mbili. Tatizo kushne
Sorry mkuu, mirungi inaweza kua ni sababu kweli, kvp inaathiri ?
 
Mkuu pole sana
Unaweza tumia dawa hii sidenafir citrate nusu kidonge nusu saa kabla ya tendo
 
Hapa nashindwa kuelewa mnaposema anamficha mkewe,.anamfichaje yani wakati wanashiriki tendo la ndoa ?

Kwani mkewe hahisi au haoni kabisa kama jamaa ana kitu lege lege au?


Embu nieleweshe kidogo wanafichanaje ?Maana hata wangekuwa wanafanya gizani bado angejua tu jamaa hapandi mtungi.
Wewe hujui kama watu wanatangaza biashara?

Au wewe darasa la Saba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom