MamaaRehema
Member
- Feb 13, 2014
- 78
- 18
Kwaupande wangu.....kama kiki anaweza ku forgone microeconomics kwa tennis or movie therefore opportunity cost of attending class is either tennis or movie na sio tennis and movie atawezaje kufanya vyote kwa wakati mmoja.