Nina supp nne 4 semester 1 na 5 second semester. Je, kuna uwezekano wa kuchomoa?

Nina sapp nne 4 semester 1 na 5 second semester.

Je, kunauwezekano wa kuchomoa?
Swali lako gumu Sana.
Kwanza, hatujui, supp. za masomo gani unazozizungumzia.
Pili, hutukufahamu wewe na uwezo wako wa kimasomo hatuujui( Kwahiyo, tunaweza tukatoa maoni kwa mtazamo wa mtu ambaye ni BRIGHT na wakati wewe siyo BRIGHT).
Tatu, hatujui sababu za wewe kupata hizo supp( ambapo, tungeweza kutoa maoni ya kuepuka jambo au mambo fulani).
Hatahivyo, usikate tamaa pambana uweze kuziclear.
 
Hivi C huwa ni supp mkuu?au wewe hujasomea Tanzania?
Labda anazungumzia C ya O-level(ya zamani). Kuanzia ( 41- 60), labda Kuna baadhi ya vyuo pass mark yao ni 50+( Sasa ukipata 41-49 ni C, lakini hujafikia pass mark). Na Kuna baadhi ya vyuo pass mark yao ni 40+( sijui kama imebadilika siku hizi).
Kimantiki: Aliyepata 40 akiwa amefaulu hawezi kumcheka Aliyepata 45(lakini amesupp).( According to my opinion).
 
Nina sapp nne 4 semester 1 na 5 second semester.

Je, kunauwezekano wa kuchomoa?
Umenikumbusha tamasha la UPENDO,IMANI, MIUJIZA

Dar es salaam nzima ilichafuka matangazo.....🤓🤓

Nyinyi NDIO ambao siku ya graduation 🎓🎓
Huwaga mna sheherekea sana
Kama ume ruhusu kupata sup zote izo uwe na sabb za msingi....

Ukichomoka kachinje mbuzi na ufanye sherehe...
NB: anything is possible 😂😂🤣🤣 under the sun ☀️🌞
 
Supp zinawezekana kuchomoka! Ila angalia mazingira yaliyokufanya upate supp nyingi ni yapi? Yabadilishe! Then soma acha na starehe, module ambazo ni ngumu kwako zipe masaa mengi kuzisoma na kuzirudia....utatoboa tu.
 
Back
Top Bottom