Dasvidaniya
Member
- Sep 17, 2024
- 8
- 12
Bado nina safari ndefu sana a very long long way to reach ila one day yes mkuuDaaah hizo ndoto sio sasa mkuu..
Waza mambo mema sawa
#Dasvidaniya#
Bado nina safari ndefu sana a very long long way to reach ila one day yes mkuuDaaah hizo ndoto sio sasa mkuu..
Waza mambo mema sawa
Kama una IMANI mkuu tutafika tuu..Bado nina safari ndefu sana a very long long way to reach ila one day yes mkuu
#Dasvidaniya#
Kabisa mkuu kila mafanikio Yana historia tusikate tamaa ipo siku mambo yatakaa Sawa.Mkuu siku ni moja tuu ambayo kuna kitu kitafanyika juu yako .
Mkuu uwezi amini imenijia nguvu ya gafla nimejikuta naamka mda hu na kuanza kuomba kwa Muumba wangu mpaka chozi limenitoka.
Mkuu hatujaja kuteseka hapa ujue.
Kuna mda nawaza ila all in all Mungu yupo na kuna mda sahihi ukifika mambo yatafunguka
Kweli kabisa mkuu .Kabisa mkuu kila mafanikio Yana historia tusikate tamaa ipo siku mambo yatakaa Sawa.
Nimelia sana mimi you know? I feel sad bruh this so called serikali ain't fairKama una IMANI mkuu tutafika tuu..
Ila sasa unaposema kuwa kama putin mbona mkuu haupo serious..
Unaposema unataka kupindua serikali yako daah
Mkuu ebu share kidogo tuuNimelia sana mimi you know? I feel sad bruh this so called serikali ain't fair
Nimekujibu kasome comment #10Kweli kabisa mkuu .
Nje ya mada mkuu. Mbona upogo macho mida kama ile mkuu ?
Mkuu kuilaumu Serikali ni kupoteza muda muhimu ni kujipambania tuu, kwasabbu siku wajukuu wakikuuliza babu why umezeeka masikini ukatoa sababu za Serikali haikua fair sidhani kama watakuekewa. Democracy ya Africa ni upumbavu tuu.Nimelia sana mimi you know? I feel sad bruh this so called serikali ain't fair
😄😄Mkuu kuilaumu Serikali ni kupoteza muda muhimu ni kujipambania tuu, kwasabbu siku wajukuu wakikuuliza babu why umezeeka masikini ukatoa sababu za Serikali haikua fair sidhani kama watakuekewa. Democracy ya Africa ni upumbavu tuu.
Amini mkuu Sasa hivi FISIEM ni kujipakulia minyama kulingana na position uliyopo. Sasa mpaka waje watukumbuke sisi watoto wa masikini sio leo, Sasa hivi ni kuweka vyeti kabatini na kufanya kazi yoyote halali tukisema tuwait ajira za mama Samia UZEE HUU HAPA.
woga na usilale tafuta ela hadi mwisho. Ukikaa legelege itakula kwakoDaaah mkuu haya maneno yako yanaweza kufanya mtu kulia...
Unajua najikuta nina machozi ya karibu leo yaani mkuu acha tu ..
Nikifikilia na ile ishu ya k,koo kule daah nachoka
why why why inakua hivi tunapambana kweli kweli
Mkuu nimejikuta nakaa na kumuuliza baba muumba. Nimekosa nini mimi mja wake mpaka huu mwaka sijatimiza ndoto zangu mimiLeo umeamkia gia gani mkuu sijawahi ona uzi wako. Umeeacha nyeto? au ni ndoto za mchana. Nyeto ni hasara humaliza nguvu za mwili na akili. No fap ni dawa. Cc Poor Brain @To yeye
Mkuu ya k,koo si umeona mwenyeweAcha
woga na usilale tafuta ela hadi mwisho. Ukikaa legelege itakula kwako
Mkuu ya k,koo si umeona mwenyewe
Umetoka kwa Mwamposa lini??Mkuu siku ni moja tuu ambayo kuna kitu kitafanyika juu yako .
Mkuu uwezi amini imenijia nguvu ya gafla nimejikuta naamka mda hu na kuanza kuomba kwa Muumba wangu mpaka chozi limenitoka.
Mkuu hatujaja kuteseka hapa ujue.
Kuna mda nawaza ila all in all Mungu yupo na kuna mda sahihi ukifika mambo yatafunguka
Daaah mkuu we acha tuuu hatareee sana ujueHiyo haizui waliopo hai kutafuta. Wew usiwe mdhanaishi