Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Poor Brain

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
16,131
32,923
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope....

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected ..

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
 
kuja kuwa DIRECT
INDIRECT proportional....

1732322115710.png
 
Mkuu mimi Nina mwezi Sasa sipati usingizi nakesha tuu nawaza usingizi naupata asubuhi mida ya saa moja, ila najua Mungu nimwema ninachoplan kwenda kukifanya naimani kitafanikiwa.
Mkuu siku ni moja tuu ambayo kuna kitu kitafanyika juu yako .

Mkuu uwezi amini imenijia nguvu ya gafla nimejikuta naamka mda hu na kuanza kuomba kwa Muumba wangu mpaka chozi limenitoka.

Mkuu hatujaja kuteseka hapa ujue.
Kuna mda nawaza ila all in all Mungu yupo na kuna mda sahihi ukifika mambo yatafunguka
 
Kuna muda naona tunahangaika sana na maisha ambayo yanaisha muda wwte😩..
Daaah mkuu haya maneno yako yanaweza kufanya mtu kulia...

Unajua najikuta nina machozi ya karibu leo yaani mkuu acha tu ..

Nikifikilia na ile ishu ya k,koo kule daah nachoka
why why why inakua hivi tunapambana kweli kweli
 
Back
Top Bottom