Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

habari wakuu naomba mnisaidie wala sihitaji masimango, nina ndoto za kuishi nje ya tz naona njia nzuri ya kuishi ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nnje ya tz,, nilifeli four 4,.hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza niridi shule (Quit) je naweza toboa kwa umri huu
Oyi hutoboi ninja maana akili ya darasani hauna oyi
 
habari wakuu naomba mnisaidie wala sihitaji masimango, nina ndoto za kuishi nje ya tz naona njia nzuri ya kuishi ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nnje ya tz,, nilifeli four 4,.hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza niridi shule (Quit) je naweza toboa kwa umri huu🙏🙏
Oyi fika pale kariakoo ukatafakari kwanza.
 
Nimejiunga jf muda si mrefu so,bado sijui vzr kutumia kichwa cha habari nilitaka kuandia.
Naomba ushauri nataka nirudi shule✍🏼
kwa sasa uwezo wa kubadilisha heading ya uzi upo chini ya moderators, ni vema ukawatag na kuwaomba wakubadilishie heading vile inapaswa kuwa ili upate msaada ila ikibakia hiyo "oyi" yako hapa utaambulia michango ya kukukosoa uandishi wako na jokes tu sidhani kama kuna msaada wa maana utaupata.

All the best.
 
kwa sasa uwezo wa kubadilisha heading ya uzi upo chini ya moderators, ni vema ukawatag na kuwaomba wakubadilishie heading vile inapaswa kuwa ili upate msaada ila ikibakia hiyo "oyi" yako hapa utaambulia michango ya kukukosoa uandishi wako na jokes tu sidhani kama kuna msaada wa maana utaupata.

All the best.

Sawa mkuu . Heri wewe umenielewesha ila wengine wanaona nimefanya makusudi,ila ndiy hivy binadamu tunatofautiana haswa hii ngozi nyeusi
 
Nime watag moderators, naomba mnirekebishie kichwa cha habari kisomeke.
Nataka nirudi shule then niombe udhamini 🙏
 
Habari wakuu, naomba mnisaidie wala sihitaji masimango.

Nina ndoto za kuishi nje ya Tanzania, naona njia nzuri ya kuishi Ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nje.

Nilifeli form 4, hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza nirudi shule (QT). Je, naweza toboa kwa umri huu?
1. Kwanza tengeneza passport
2. Tafuta nauli na pesa viza
3. Kisha soma kozi ya kuhudumia wazee/frail care (online au darasani ni Bora zaidi)
4. Kisha nitafute tufanye mpango uje ULaya kubadilisha wazee pampers na pesa nzuri kuanzia $20 Kwa saa minimum
 
Back
Top Bottom