Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

Hiyo hela yako utaipoteza mkuu ukienda Kkoo. Licha ya kwamba biashara si nzuri hapo lakini huo mtaji utaenda kuchoma. Kwanza kilemba tu hata hiyo 35 yako itapotea. Me nadhan nenda mkoa unaoanza kuchipukia. Ama fanya biashara ingine mtaani
 
Mkuu nilinunua mwaka Jana mazo yametukata mwaka huu
Usinunue mazao na kuweka store nenda sokoni uwe unanunua nafaka kwa wakulima na wale wanaotoa vijiji, we uwe unauza kama wholesale
Ukiwa unanunua afu unaweka store ukisubili price kupanda hiyo sio biashara bali ni kamali cos posibility ya kushuka inakuwepo kubwa

Ushauli wangu: Fanya research ya nafaka unayotaka kuuza mfano mchele anzia wanakonunulia(kobolewa) inaweza ikawa Kahama, Mpanda, Mbeya n.k ili kujua season kwa mwaka ukimaliza tafuta store town hapa wanapouza nafaka agiza au uwe unaenda mwenyewe mwanzo hautakuwa unapata faida kubwa ila kadri muda unavyozidi kwenda faida utayona tena kubwa kubwa.

Mwisho wasiku utapata wenyeji wa maeneo uliyochulia mzigo watakuwa wanajua wewe unataka mchele wa aina gani so itakuwa rahisi kwao kukutumia mzigo unao utaka au una mechi na soko lako

Nb: Ninapatikana Moshi (kiusa) jilani na panoni petro station nauza maharage na mchele kutoka kahama grade 1 kiroba 50kg 85000 kwa kilo 1700 na grade 2 kiroba 50kg 75000 kwa kilo 1500 na maharage price ya sokoni kwa jumla 2200 ya songea na 2300 kwa yanayotea sanya juu hapahapa moshi
 
Habari Mkuu. Kwa mawazo yangu ingia kwenye biashara ya vyombo. Tafuta fremu mitaa ya sikukuu/aggrey (kodi 1-2m miezi 6 hapo 10m imeisha)
Shelves za kuwekea mzigo, feni, taa n.k kama 1 m.


Anza kujuana na supplier wa vitu vya nyumbani na vyombo. I.e ailyons, aborder, zunne, kenwood, west point, na wauzaji wa vyombo kwa jumla.


Fuatilia Tin na Lesen na mashine. Tafuta kijana wa kukusaidia kazi. Ingia mzigoni.

Hapo kwa siku unaweza make faida 70,000 - 200,000 na kuendelea.

Ukijiongeza ukafungua page social media, ukawa na group whatsapp utauza sana
Naunga mkono hoja
 
Usinunue mazao na kuweka store nenda sokoni uwe unanunua nafaka kwa wakulima na wale wanao toa vijiji, we uwe unauza kama wholesale
Ukiwa unanunua afu unaweka store ukisubili price kupanda hiyo sio biashara bali ni kamali cos posibility ya kushuka inakuwepo kubwa

Ushauli wangu: fanya research ya nafaka unayotaka kuuza mfano mchele anzia wanako nunulia(kobolewa) inaweza ikawa kahama, mpanda, mbeya n.k ili kujua season kwa mwaka ukimaliza tafuta store town hapa wanapo uza nafaka agiza au uwe unaenda mwenyewe mwanzo hautakuwa unapata faida kubwa ila kadri mda unavo zidi kwenda faida utayona tena kubwa kubwa
Mwisho wasiku utapata wenyeji wa maeneo uliyochulia mzigo watakuwa wanajua wewe unataka mchele wa aina gani so itakuwa rahisi kwao kukutumia mzigo unao utaka au una mechi na soko lako

Nb: Ninapatikana moshi (kiusa) jilani na panoni petro station nauza maharage na mchele kutoka kahama grade 1 kiroba 50kg 85000 kwa kilo 1700 na grade 2 kiroba 50kg 75000 kwa kilo 1500 na maharage price ya sokoni kwa jumla 2200 ya songea na 2300 kwa yanayotea sanya juu hapahapa moshi
Hii safi sana.
 
Fanya hivii: tafuta mfanya biashara wa ng'ombe mwenye mabucha makubwa ya nyama

Jifunze biashara kutoka kwake kwa mda wa miezi hata 3 huku ukifahamiana na watu mbali mbali wanao nunua ng'ombe minadan

Baada ya kupata uzoefu ,tafuta eneo fungua bucha kubwa la nyama

Nenda minadani nunua ng'ombe ambao utakuwa unawa chinja na wengine unawauza wakiwa wazima kutoka Mikoan kuleta dar

Biashara hii ikikua zaidi Fanya kununua mifugo na kunenepesha na kuuza kwa bei ya juu zaidi

Hiyo pesa ni nyingi zanaaa hapo mipango yote waweza anza kuwekeza 20M wakati hiyo 15M ikitulia kwa mda huku ukisoma biashara yako

Kikubwa anza ,narudia kikubwa anza

Only risk taker succeed in becoming financially free ,but have a price to pay to become free .start now don't wait tomorrow



Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom