Nina mpenzi anataka kunioa lakini mimi simpendi, Nifanyaje?

Kwanini humpendi kwanza
sijui Yan imenitokea tuu nikawa simpendi hata hamu ya mapenzi na yeye sina naona ni psychological problem kwa sababu alinitongoza nikiwa mdogo nikawa namuona kama anataka kuniharibia maisha
 
Aaah kama vp achana nae tu bt :-
Unajua kama yule nae ni binadamu eeeh? What goes around........
Unapenda kuolewa na mtu unaempenda au anaekupenda?
Utatumia muda gani kumuandaa mwingine awe anakufaa?
Sasa muache huyo jamaa,, yy atapata mtu wa maana kuliko ww cz siamini kama ww ndo zaidi ya wote then utaona roho itakavokuuma
Tusione kipost chako cha kulalamika unahisi mmeo mpya ni shoga, mlevi, n. K
 
yani wakati namfata nilitaka kuondoa stress sasa anataka ndoa hii dhambi naibebaje
Ukweli utakuweka uhuru... Ingawa ukweli unauma mueleze tu ukweli... Ikiingia kwenye hiyo ndoa utateseka maisha yako yote... Majuto ni mjukuu...
 
Aaah kama vp achana nae tu bt :-
Unajua kama yule nae ni binadamu eeeh? What goes around........
Unapenda kuolewa na mtu unaempenda au anaekupenda?
Utatumia muda gani kumuandaa mwingine awe anakufaa?
Sasa muache huyo jamaa,, yy atapata mtu wa maana kuliko ww cz siamini kama ww ndo zaidi ya wote then utaona roho itakavokuuma
Tusione kipost chako cha kulalamika unahisi mmeo mpya ni shoga, mlevi, n. K
kwani mimi siwez kumpata mzuri zaidi yake?
 
Wanawake bana ..unamwita mpenzi afu unasema humpendi.kwa taarifa yako watu wengi wenye ndoa siyo kwamba walikuwa wanapendana sana ni % ndogo sana kumwoa/kuolewa na umpendae kwa dhati
 
Back
Top Bottom