Nina mpango wa kupambana na Samia Suluhu Hassan kwenye ucchakachuaji ujao kama independent candidate

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
8,275
9,647
1745285047837.png

Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi ili kuleta ushindani na uwiano wa kidini kwenye sanduku la kura. Pia, ni mzenj wa Tanga. Mimi ni daktari wa kujipachika.
 
View attachment 3311565

Endelea kulinda geti la watu, usije ukasabisha wizi wa mali za boss wako.
 
View attachment 3311565
Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi ili kuleta ushindani na uwiano wa kidini kwenye sanduku la kura. Pia, ni mzenj wa Tanga. Mimi ni daktari wa kujipachika.
Kila kitu ni determination Tu sema kwa Tanzania police wao wa hovyo watakumaliza
 
Ukiweka pembeni CCM, SAMIA ni rais mzuri sana. Na Mungu ambariki sana aweze kuwa na maamuzi sahihi katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom