Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 8,282
- 9,645
Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi ili kuleta ushindani na uwiano wa kidini kwenye sanduku la kura. Pia, ni mzenj wa Tanga. Mimi ni daktari wa kujipachika.