Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

Hivi bedroom maana yake ni nini??

Nyumba ikiwa na chumba 1 cha baba na mama, na vyumba 2 vya watoto na sebule 1 hiyo nyumba inahesabika ina bedrooms ngapi?
 
Back
Top Bottom