Nina laki mbili(250,000/=) unaniuzia simu gani kati ya hizi?

Waliwahi kunitumia hii email

Feb 24
Select message from Ridha Mobiles that says Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea mzigo wetu mpya ya wiki hii. Kuna simu kutoka 300,000/- TZS mpaka 450,000/- TZS zilizo kuwa zina specifications za juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Wasiliana na sisi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313. Website yetu: .

Ridha
On Feb 24, Ridha Mobiles said the following:
Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea mzigo wetu mpya ya wiki hii. Kuna simu kutoka 300,000/- TZS mpaka 450,000/- TZS zilizo kuwa zina specifications za juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Wasiliana na sisi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313. Website yetu: http://ridhamobiles.com/ Kutazama simu zetu za BLU® nenda hapa: http://m.gsmarena.com/blu-phones-67.php
Elli nimeziona simu zao je, siyo wapigaji? walitoa wapi email yako mpaka wakakutumia wewe? kwanini hawasemi ofisi zao ziko wapi??
 
Elli nimeziona simu zao je, siyo wapigaji? walitoa wapi email yako mpaka wakakutumia wewe? kwanini hawasemi ofisi zao ziko wapi??
Nilikutana nao LinkedIn na wana ofisi zao hapa Dar, ni Wabongo, ngoja nitafute hio information nakutumia.
 
Elli nimeziona simu zao je, siyo wapigaji? walitoa wapi email yako mpaka wakakutumia wewe? kwanini hawasemi ofisi zao ziko wapi??
HII HAPA HEBU SOMA KAMA UNA MUDA UNAWEZA KUWATEMBELEA THEN UKARUDI NA KUTUPATIA FEEDBACK PIA

Mpigie whatsApp Mr SAM: +255 657 714 397 kwa hoja ya SPEA za simu zetu imara za BLU® kutoka USA. WHATSAPP ONLY!! Mpigie WhatsApp MR. HAJJ +255 717 146 364 kwa ununuaji wa JUMLA. WHATSAPP ONLY!! Mpigie WhatsApp Mr Zuher: +255 765 97 94 93 kwa ununuaji wa reja reja za simu zetu za BLU®. WHATSAPP ONLY!! Mpigie WhatsApp MR. RIZ 0685 77 1313 kwa jili ya WAKALA na ununuaji ya simu ya BLU®. WHATSAPP ONLY!! Kutazama BLU® phones nenda hapa: http://m.gsmarena.com/blu-phones-67.php Showroom yetu itakuwa teyari mwisho mwezi pale Mkuki House [THE MALL], Nyerere Rd, Next to ARAMEX, Dar Es Salaam, TANZANIA. [Barabara ya kwenda DSM airport] Karibu kwenye showroom yetu :)
 
Mkuu cmp nimeiona simu yako kwa google kwenye camera vipi maana nimeona ina 5mp na bettery 2500mAh. imetumika muda gani mkuu?
Kuhusu camera yale ni maandishi tu yasikutishe mkuu mbona unapitwa na wakati?xperia zipo zenye camera hadi 23mp lakin ukipiga picha utafikiri umetumia huawei y330.hii blackberry camera ipo clear huwez amini.
 
Kuhusu camera yale ni maandishi tu yasikutishe mkuu mbona unapitwa na wakati?xperia zipo zenye camera hadi 23mp lakin ukipiga picha utafikiri umetumia huawei y330.hii blackberry camera ipo clear huwez amini.
hujanambia umeitumia kwa muda gani mkuu??
 
Tecno ila iwe C8, Sony, Samsung, Xiamo, lg

Ziwe original tafadhari na ziwe hazijatumika zaidi ya mwezi mmoja

Specs
screen inch 5 na kuendelea juu
Battery mAh 2600 na kuendelea
internal 1gb na kuendelea
Camera iwe yenye quality 13Mp kuendelea kutegemea na bland ya simu

tuwasiliane kama unayo kati ya hizo
0713268209 nipo dodoma
nakupa techno L7
 
hujanambia umeitumia kwa muda gani mkuu??
Karibu miezi miwili sasa.pia suala la muda wa simu kutumika sio tija sana maana mwingine anaweza kutumia miezi 6 ikaonekana mpya na mwingine akatumia mwezi mmoja ikaonekana km mwaka.ninazo simu 3 hivyo mara nyingi unakuta siitumii sana natuumia zaidi xperia z3.
 
Hellow ninayo techno c8 no mpya kabisa...! Haina tatizo lolote..! You can contact with me 0658 312971
 
Back
Top Bottom