AlphaMale_
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 212
- 496
Habari wadau poleni na majukumu
Mimi ni kijana wa 27 ,ni entrepreneur Ninaishi dar lkn muda mwing naenda polini ni chaka tu chaka nanunua Gold ,Elimu yang Degree.
Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nn ,Natamani kua na mke lakn mahusiano yang huwa yanakufa njian labda niseme sijui ni mm tu au hii hali hata nyie mnapata mm mwanamke Huwa nampenda san kabla sija mlala baada ya hapo huwa namuona hafai kbisa sijui tatizo nn ? Yani ni kama ugonjwa kwasababu hata niwe na uhusiano na mwanamke mzuri wa tabia sura akinipa penz tu namuona hafai .sijui why