Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nini. Natamani kuwa na mke lakini mahusiano yangu huwa yanafia njiani

AlphaMale_

JF-Expert Member
Aug 12, 2023
212
496
Habari wadau poleni na majukumu

Mimi ni kijana wa 27 ,ni entrepreneur Ninaishi dar lkn muda mwing naenda polini ni chaka tu chaka nanunua Gold ,Elimu yang Degree.

Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nn ,Natamani kua na mke lakn mahusiano yang huwa yanakufa njian labda niseme sijui ni mm tu au hii hali hata nyie mnapata mm mwanamke Huwa nampenda san kabla sija mlala baada ya hapo huwa namuona hafai kbisa sijui tatizo nn ? Yani ni kama ugonjwa kwasababu hata niwe na uhusiano na mwanamke mzuri wa tabia sura akinipa penz tu namuona hafai .sijui why
 
Ok huo ni ugonjwa wa kisaikolojia,mtafute mtaalamu akusaidie
 
Habari wadau poleni na majukumu

Mimi ni kijana wa 27 ,ni entrepreneur Ninaishi dar lkn muda mwing naenda polini ni chaka tu chaka nanunua Gold ,Elimu yang Degree.

Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nn ,Natamani kua na mke lakn mahusiano yang huwa yanakufa njian labda niseme sijui ni mm tu au hii hali hata nyie mnapata mm mwanamke Huwa nampenda san kabla sija mlala baada ya hapo huwa namuona hafai kbisa sijui tatizo nn ? Yani ni kama ugonjwa kwasababu hata niwe na uhusiano na mwanamke mzuri wa tabia sura akinipa penz tu namuona hafai .sijui why
Hujakuwa bado
 
Back
Top Bottom