Nina 6 million nahitaji gari used

Agiza gari nje ingia beforward.jp utapata hayo magari unayotaka kwa bei chee sana usiogope tayari una hela ya kutosha ukinunua bongo Kuna uwezekano ukauziwa maradhi ya gari ukajuta,hapo ongeza 2 unaagiza gari nzuri kabisa,usiwe na haraka!
 
mkuu bora uagize gari Befoward au ununue kwa mtu unayemjua na kumwamini. Gari nyingi zilizotumiwa na wabongo wanauza zikiwa na matatizo.

Sasa harrier 6M unategemea nini.?
 
Agiza gari nje ingia beforward.jp utapata hayo magari unayotaka kwa bei chee sana usiogope tayari una hela ya kutosha ukinunua bongo Kuna uwezekano ukauziwa maradhi ya gari ukajuta,hapo ongeza 2 unaagiza gari nzuri kabisa,usiwe na haraka!
Hiv kwa mfano mimi mwalimu nikiompa kupunguziwa kodi TRA hata milioni 6 naweza pata gari nzuri?
 
Mkuu kodi zipo standard kabisa,nenda pale ofisi za befoward jirani kabisa na Hospitali ya Oceans Road,wale jamaa watakushauri vizuri juu ya bajeti yako,hiyo 6 m inatosha kuagiza gari ndogo kwa bei chee! Kuhusu punguzo au msamaha wa kodi bado sijafahamu japo hiyo misamaha hutolewa kwa vigezo maalum
 
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
iko paso namba cv imetumika mwaka tu PM namba tubonge
 
Attachments

  • 1457426086934.jpg
    1457426086934.jpg
    55.6 KB · Views: 39
  • 1457426104584.jpg
    1457426104584.jpg
    59.4 KB · Views: 38
Back
Top Bottom