Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 2,026 5,017 Feb 14, 2017 #1 Habari zenu wanajamvi, nimo humu tangu mwaka juzi ila nilikuwa bado sijajitambulisha kulingana na sababu zangu binafsi, leo nimeona nichukue fursa hii kujitambulisha rasmi. Naombeni ushirikiano wenu tafadhali.!
Habari zenu wanajamvi, nimo humu tangu mwaka juzi ila nilikuwa bado sijajitambulisha kulingana na sababu zangu binafsi, leo nimeona nichukue fursa hii kujitambulisha rasmi. Naombeni ushirikiano wenu tafadhali.!
Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 2,026 5,017 Feb 16, 2017 Thread starter #5 Numbisa said: Welcome Click to expand... Thanks!
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Feb 16, 2017 #6 Izzyhass Joined:Jan 4, 2015 Numbisa Joinedec 12, 2016 Numbisa said: Welcome Click to expand... Hahaaa! JF raha sana. Mgeni anamkaribisha mkongwe!
Izzyhass Joined:Jan 4, 2015 Numbisa Joinedec 12, 2016 Numbisa said: Welcome Click to expand... Hahaaa! JF raha sana. Mgeni anamkaribisha mkongwe!
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 279,437 1,131,060 Feb 16, 2017 #7 Hahahaa maajabu KWEZISHO said: Izzyhass Joined:Jan 4, 2015 Numbisa Joinedec 12, 2016 Hahaaa! JF raha sana. Mgeni anamkaribisha mkongwe! Click to expand...
Hahahaa maajabu KWEZISHO said: Izzyhass Joined:Jan 4, 2015 Numbisa Joinedec 12, 2016 Hahaaa! JF raha sana. Mgeni anamkaribisha mkongwe! Click to expand...
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Feb 16, 2017 #8 Izzyhass said: Thanks! Click to expand... Ila hapa ulimshukuru. Haahaaaaa!
Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 2,026 5,017 Feb 16, 2017 Thread starter #9 KWEZISHO said: Izzyhass Joined:Jan 4, 2015 Numbisa Joinedec 12, 2016 Hahaaa! JF raha sana. Mgeni anamkaribisha mkongwe! Click to expand... Duh! Amaizing
KWEZISHO said: Izzyhass Joined:Jan 4, 2015 Numbisa Joinedec 12, 2016 Hahaaa! JF raha sana. Mgeni anamkaribisha mkongwe! Click to expand... Duh! Amaizing
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 30,991 12,937 Feb 21, 2017 #10 krb sana JF mjukuu wetu.........
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,789 Feb 21, 2017 #11 Wewe ni ME au ni KE? Ushirikiano wangu kwako utategemeana na jinsia yako!
Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 2,026 5,017 Feb 22, 2017 Thread starter #12 Ulimakafu said: krb sana JF mjukuu wetu......... Click to expand... Nashukuru sana Mzee wangu
Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 2,026 5,017 Feb 22, 2017 Thread starter #13 Nichumu Nibebike said: Wewe ni ME au ni KE? Ushirikiano wangu kwako utategemeana na jinsia yako! Click to expand... Mimi ni 'ME' Kiongozi..sijui wewe huwa unashirikiana na jinsia ipi.. Ila nitashukuru sana nikipata ushirikiano wako pia.
Nichumu Nibebike said: Wewe ni ME au ni KE? Ushirikiano wangu kwako utategemeana na jinsia yako! Click to expand... Mimi ni 'ME' Kiongozi..sijui wewe huwa unashirikiana na jinsia ipi.. Ila nitashukuru sana nikipata ushirikiano wako pia.
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,789 Feb 22, 2017 #14 Izzyhass said: Mimi ni 'ME' Kiongozi..sijui wewe huwa unashirikiana na jinsia ipi.. Ila nitashukuru sana nikipata ushirikiano wako pia. Click to expand... Poa. Kula gwara...
Izzyhass said: Mimi ni 'ME' Kiongozi..sijui wewe huwa unashirikiana na jinsia ipi.. Ila nitashukuru sana nikipata ushirikiano wako pia. Click to expand... Poa. Kula gwara...