mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 951
- 1,559
Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio zinapigwa mno kuliko wasanii wengine, Hakuna Cha Diamond, Ali kiba, Mario. Msaa Zuchu kutoka WCB na Harmonize kutoka Konde Gand kwakweli wanasikilizwa sana maeneo yote ya Tanzania.
Hili jambo lilinishangaza, kwakuwa wanamuziki waotrend Sana , hasa kwenye mitandao ya kijamii ni Mario, Ali kiba na Diamond. Lakini Mtaani anepigwa zaidi ni Zuchu na Harmonize, Sijui waoane tu.
Wadau pia nyie toeni maoni yenu, ila kwa wale ambao wamezunguka sana nchi hii, sio upogo tu ubungo kibangu muda wote , miaka yote , huwezi kujua hii