Nimeulizwa na mdada nina michepuko mingapi?

Wasalaaaam,kwa kweli nimejikuta katika wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa muda kidogo kuniuliza idadi ya michepuko niliyonayo.Mpaka sasa bado nalitafakari swali hili mpaka nahisi kuna kitu kimejificha.Naombeni mnisaidie nimjibu vipi ili nisiharibu urafiki wetu.
Yani unatafakari kiundani swali dogo kama hilo toka kwa 'rafiki wa muda kidogo' je angekua padre/shekhe ama mama/baba ingekuaje!.
Kifupi muangalie machoni kisha fanya haya mawili MDANGANYE au MWAMBIE UKWELI
 
For the first time mumuona nokia torch akitongoza live


Aaaaaah samahani mubashara
 
Back
Top Bottom