Nimetumbuliwa nina vyeti feki

Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Ninyi ni w.a.n.a.f.i.k.i sana mkiwa kazini mnapokea mishahara huwa mnatuasa sana tujiajiri ktk kilimo, sasa cha kufanya tafuta mashamba yapo tele.
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Wewe si ni babu kabisa. Tangu 1990 hujawekeza chochote kwa ajili yako na watoto halafu unakuja kuomba humu?

Shame on you.
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
POLEEE MKUU.JINSIA YAKO TAFADHALI
 
NDO MAANANIMEMUULIZA JINSIA YAKE MKUU
Porojo za kuchangamsha jukwaa..

Ila hivi kuna mtu ameajiriwa toka 1990 aje afukuzwe kazi mwaka 2017 alielie?? Hawa ndio wale watu mshahara ukitoka haupumui kwenye account!

Toka 1990 jitu haliwekezi linategemea ajira ya shkamoo boss..

Ukiajiriwa unatakiwa kujiongeza na sio kuwa muajiriwa milele!
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Kuna watu yamewakuta kweli, Acha dhihaka!!!
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau

Ndiyo ukome kufoji vyeti. Wamekukomesha kweli. Hili ni funzo kwa vizazi vinavyokuja. Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe.
 
Mkuu naona una uthubutu wa hali ya juu na kama ulithubutu kufoji cheti naamini utathubutu hata kurudi shamba kulima, tena mshukuru Mungu Magu kawasamehe vp ungeambiwa rejesha fedha zote ulizokwishaiba
 
Back
Top Bottom