Nimetoka polisi muda huu kisa mapenzi, hebu pita unipe ushauri

Nakumbuka uliwahi kumsifia sana huyu binti wa Tanga kwenye 6 kwa 6 na pia kazi za nyumbani ikiwemo mapishi, ndiye yeye huyu? Umefanya vyema kumtaarifu badala ya kumpotezea muda wake.
Ndo huyu mkuu, ila itakua sio fair kukaa na mtu wakati ma entire mind IPO kwa mwingine
 
Kweli kabisa kwa sababu wewe usingependa akutende namna hiyo. Ni maamuzi mazuri badala ya huyo mrembo mpya kuja kukubamba na binti wa Tanga ukabaki na majuto ya mtaka vyote......

Ndo huyu mkuu, ila itakua sio fair kukaa na mtu wakati ma entire mind IPO kwa mwingine
 
Sijui mm umri wangu haujafikia kuelewa haya mavituz,sijaelewa chochote hapa,ngoja wajav wachambuzi wa malavidav waje naweza kupata mwanga aisee
 
I feel you ma nigga...am feeling sorry for her,maana hajakufanyia kosa lolote.but life is not fair.Tread softly...huwezi jua unaeenda kwake mahusiano yataishaje.Ila namuhurumia huyo binti wa kitanga,hajakufanyia ubaya wowote..
 
Wakuu mpo poa? Sijaingia humu muda tu kutokana na majukumu, Leo ntajitahidi kua very brief nsiwachoshe

Ni hivi kuna binti nilikutana nae pale house of wine kama mwezi umepita, ile kumuona tu I was like "she is the one"... Alikua kakaa na mwenzake wanakula, nikawa nawaza jinsi hata ya kupata mawasiliano yake... Ila nikawa nasita maana kumvaa mtu ambaye humjui yahitaji moyo sana, appetite ya kula ikaisha ghafla, nikaagiza mishikaki tu, to cut the story short nlifanikiwa kupata namba zake kwa msaada wa kupiga captain Morgan(God bless the man)... Mind you hapo house of wine, hamna urembo.. Mambo ya soda, juice sijui hamna, its just food and liquor, kiivo yanii

Baada ya mawasiliano ya kama wiki mbili ivi na huyu mwanamke, I have to say nikampenda sana yani, nikisoma texts zake najikuta nacheka tu,nafurahi and all that, feeling kama hizi Mara ya mwisho kuzipata huko o level like 10 fucking years ago.. Akaniambia ametoka ku break up na mtu si muda mrefu, the guy was not treating her right and all that(well, show me a beautiful lady and i'll show you a man who is tired of fucking her)...tukaendelea kukutana na vi dinner vya hapa na pale, nikawa nimemwambia kwamba am between relationships, sina mpenzi permanent, wanaume wenzangu kuna sheria mbili inabidi mzizingatie ukikatana na binti mpya
1) hata, siku moja usiseme upo single (its lame)
2) read rule no 1

Tatizo,
Nina huyu mtoto wa kitanga nipo nae kwenye mahusiano, but am not all into her, yaani sio serious kivile, sasa ikafika muda nikawa dilemma, nkashindwa kufanyaje, God forbid, ikafika mahali ikabidi niwe muwazi tu,hii ni baada ya kuanza kudate na huyu mtoto mpya, kumuacha huyu mtoto wa kitanga bila sababu ingekua sio poa, so ikafika siku ikabidi nimwambie ukweli,kwamba nimekutana na mtu na i fell for her(was being a jerk, I know)

Every pot has its own lid,
kuna huu msemo, so nikaona its right niwe na mtu ambaye nataka kua na furaha, na yeye pia apate mtu ambaye anampenda kweli, like crazy love....!! Baada ya kumwambia huyu mtoto wakitanga ndo balaa likaanza hapo yaani, anafanya kazi supermarket, ndo akawa haendi tena, kutwa kulia na chakula hali tena, anakaa kwa Dada yake, huko nako haendi yani nikitoka kazini namkuta yupo tuu ndani na kula hataki


Mind you Dada ake hanijui hata, sasa leo nimetoka mihangaiko, the girl is weak ,nambembeleza ata ale wapii, nikaona huyu mtu atanifia hapa, alikua kazima simu ikabidi niiwashe nimpigie Dada ake nikamuelekeza hapa aje mchukua, cha ajabu kaja na PT, akamchukua mdogo wake mimi nikapakiwa kwenye PT mpaka kituoni, namshukuru Mungu sijakaa sana kuna mtu namjua akaja nitoa asap!!!


Sasa wana jamii forum??? Huyu mtoto wa kitanga ni kweli hajanikosea chochote and she been all good to me, but je ukipata mwingine ambaye u really feel the chemistry, na huelewi chochote utafanyaje??? Nimeweka all the risks into consideration, kwamba huyu mpya anaweza niacha ata baada ya mwezi, but nahisi it will be all worth it, kiufupi am fucking in love...

Aisee huu uandishi ukikukera potezea tuuu maana nimefikia whisky hapa nyumbani vile haijawahii tokea!!
Nmeisoma post yako, nmeamini niko level ya mbali mno katika mambo haya ya relationship... Ilitakiwa uombe ushauri b4 hujamwambia huyo Mtanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom