Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

pumbavu wach kuandika km uko insta,mwandiko mchafu km tako la 'kaoge'
Mpumbavu ni mimi au wewe?
Mwenye hekima na busara hakimbilii kutukana hovyo bila kujua sababu hasa ya kilichotokea..
Utamtukanaje mtu usiyemfahamu na bila kujua kiini hasa cha yeye kufanya alichofanya.

Shame On You.
 
Umepanic brother, jibu hoja.
 
Kukosa majibu ya maswali yako haimaani mungu hayupo..mungu yupo
 
Umezaliwa, umenyonya maziwa ya mamayo, umenyweshwa uji mpaka umekua na afya njema, umepata Elimu na akili ya kutambua mema na mabaya.
Leo unasema maisha hayana maana


Tusonge mbele.
Kila mtu ananena yaujazayo moyo wake.
 
"Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike."

Hii ndio maana ya Maisha,Ama utawale au utawaliwe Chaguo ni lako
 
USITUFOKEE.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…