Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

pumbavu wach kuandika km uko insta,mwandiko mchafu km tako la 'kaoge'
Mpumbavu ni mimi au wewe?
Mwenye hekima na busara hakimbilii kutukana hovyo bila kujua sababu hasa ya kilichotokea..
Utamtukanaje mtu usiyemfahamu na bila kujua kiini hasa cha yeye kufanya alichofanya.

Shame On You.
 
1. Alokwambia dunia imeanza bila logical reason ni nani? tupe vitabu ulivyo refer.
2. Maisha yaloanza bila maana ni yako kwamaana ulizaliwa bahati mbaya, wazazi wako hawakuwa na mpango kabisa.
3. Kwamaana maisha yako yameanza bahati mbaya, kweli hayana maana, kunywa sumu ufe huna haja ya kushi maisha ya siyo na maana.
4. Mungu wako hana maana kabisa, wala hayupo. Sisi wakwetu alie tuumba ilitumu abudu tunamuabudu kila siku.
5. Ni kweli dini ni ulaghai kwamaana imeletwa na wanadamu, LAKINI WOKOVU WA KWELI umeletwa na MUNGU kupitia YESU KRISTO.

Ili uone thamani na kusudio la maisha, lazima uwe ndani ya YESU PEKEE. Vinginevyo hakuna sababu ya kuishi.

Mtume Paulo alisema kuishi ni KRISTO na kufa ni faida ukiwa Mkristo kweli.
Umepanic brother, jibu hoja.
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.
Kukosa majibu ya maswali yako haimaani mungu hayupo..mungu yupo
 
Umezaliwa, umenyonya maziwa ya mamayo, umenyweshwa uji mpaka umekua na afya njema, umepata Elimu na akili ya kutambua mema na mabaya.
Leo unasema maisha hayana maana

Tusonge mbele.
Kila mtu ananena yaujazayo moyo wake.
 
"Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike."

Hii ndio maana ya Maisha,Ama utawale au utawaliwe Chaguo ni lako
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.
USITUFOKEE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom